Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,054 Reaction score 3,263 Dec 26, 2018 #21 Karne said: Sasa binadamu na Kula majani ya mihogo wapi na wapi? Hata kisamvu hayachumwi. Click to expand... Majani yake hayana tofauti na majani ya muhogo wa kawaida, kama huujui unaweza ukachuma ukapika kisamvu. Huwa unaitwa mpira mkuu au pyrethram. Ukikomaa unatoa maua mekundu
Karne said: Sasa binadamu na Kula majani ya mihogo wapi na wapi? Hata kisamvu hayachumwi. Click to expand... Majani yake hayana tofauti na majani ya muhogo wa kawaida, kama huujui unaweza ukachuma ukapika kisamvu. Huwa unaitwa mpira mkuu au pyrethram. Ukikomaa unatoa maua mekundu