Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hii vita imefika pahala ni akili zaidi. Urusi anajua anapambana na mtu ambaye anasaidiwa na kundi kubwa la watu wanaotaka wamuangamize. Hivyo anajuwa anapewa silaha na taarifa nying za kijasusii. Imebidi na yeye asitumie silaha peke yake aongezee na hadaa za hali ya juu.
Mtu aliyetumika kuwahaada Ukraine ni Prigozhin rafiki yake Putin.Baada ya kutumia nguvu kubwa na kupoteza askari wengi wakiwa wamebakisha njia moja tu ya kuingilia Bakhmut.Prigozhin alijifanya kupayuka payuka sana na kuwashutumu waziri wa ulinzi Shoigu na jeshi zima la Urusi kwamba wamemnyima silaha.Halafu akatangaza ataachia ngazi na kuondoka Bakhmut.Baada ya hapo akatangaza vikosi vya Urusi vilivyokuja kumpa nguvu vinakimbia uwanja wa vita na hata video ikapatikana wakikimbia.
Hapo katika kukimbia askari wa Urusi ndipo Ukraine walipoingia kichwa kichwa na kupeleka askari wao eti kuchukua maeneo yaliyoachwa na Urusi.Wakati huo huo jeshi la Urusi lilikuwa limetayarisha kikosi kikubwa cha kupiga kutoka angani.
Makamanda wa mwanzo waliofika maeneo hayo wakapigwa vibaya.Wakitaka kuchimba mahandaki hata hawajafika nusu wanapigwa. Walioweza kukimbia wakatoa ushahidi tofauti kusema nani kadanganya kuwa Urusi imeishiwa na silaha na kwamba askari wake wamekata tamaa. Ilikuwa wamechelewa sana.Walipigwa mfululizo na Urusi kukamilisha kuuchukua mji wote.
Ukraine wangetumia akili kidogo tu wasingejipeleka kivile kwani kama Prigozhin angekuwa anasema kweli basi asingebaki hai hata kwa wiki moja.
Mwenzao mmoja aliona mapema lakini hawakumsikiliza.
“The enemy is trying to carry out these attacks 24/7… We have not noticed that they have a shortage of ammunition, as they claim. I think it's the opposite. The intensity of the shelling is only increasing," Ihor Shepetin, a battalion commander in the territorial defense brigade, told Ukrainian TV."