Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ila pamoja na yote uchambuzi wake umaskini ukweli 😂😂😂Alisikika mchambuzi wa masuala ya kijeshi za kijiwe cha kahawa pale tandale kwa mtogole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila pamoja na yote uchambuzi wake umaskini ukweli 😂😂😂Alisikika mchambuzi wa masuala ya kijeshi za kijiwe cha kahawa pale tandale kwa mtogole.
Hizo zako ndizo porojo. Zelensky mwenyewe kakubali wewe ndio unakataa. Na tangu juzi habari zinahusu eti wako karibu ya Bakhmut na hawataji tena kupigana ndani ya mji.Subiri mtaa itakapojengwa upya na watu kuhamia ndipo utajjuwa kweli bAKHmut is under russian controlOndoa porojo lako hapa., Wagner walitaka kuondoka kutokana kupoteza wanajeshi wengi sana wakalazimishwa basi watangaze ushindi ndicho kilichotokea bakhmut hadi hivi naandika battle inaendelea na Ukraine hadi leo asubuhi wanakiri kusonga mbele zaidi ya 2km, kutoka walipokuwa.
Soma habari mbaya zaidi inayomuhusu Putini kuamkia leo nimekuwekea hapa chini., wanasema mzaha mzaha hutumbuka usaha
![]()
Russian governor says Ukrainian 'saboteurs' cross border, Ukraine credits partisans
The governor of Russia's Belgorod region said on Monday that a Ukrainian "sabotage group" had entered Russian territory in the Graivoron district bordering Ukraine and was being repelled by Russian security forces.www.reuters.com
Tulia wewe tar 25 mwezi huu nakabidhi Bakhmut kwa Raisi mteule wa Russia.Porojo za kwenye vijiwe vya kahawa na tangawizi.