Jinsi Bakhmut ilivyotekwa kwa werevu wa kivita

Jinsi Bakhmut ilivyotekwa kwa werevu wa kivita

Alisikika mchambuzi wa masuala ya kijeshi za kijiwe cha kahawa pale tandale kwa mtogole.
Ila pamoja na yote uchambuzi wake umaskini ukweli 😂😂😂
 
Kuna watu bado wanasema Backhmut ipo chini ya Ukraine. Basi nenda BBC tafuta habari BBC verified utaona ukweli. Wameonesha hadi satelite image kwamba Russia wamechukua eneo lote.

Tusishabikie sana ita bali tuombee amani duniani. Tuwaombee waache kupigana maana uharibifu ni mkubwa sana.
 
Ondoa porojo lako hapa., Wagner walitaka kuondoka kutokana kupoteza wanajeshi wengi sana wakalazimishwa basi watangaze ushindi ndicho kilichotokea bakhmut hadi hivi naandika battle inaendelea na Ukraine hadi leo asubuhi wanakiri kusonga mbele zaidi ya 2km, kutoka walipokuwa.

Soma habari mbaya zaidi inayomuhusu Putini kuamkia leo nimekuwekea hapa chini., wanasema mzaha mzaha hutumbuka usaha

Hizo zako ndizo porojo. Zelensky mwenyewe kakubali wewe ndio unakataa. Na tangu juzi habari zinahusu eti wako karibu ya Bakhmut na hawataji tena kupigana ndani ya mji.Subiri mtaa itakapojengwa upya na watu kuhamia ndipo utajjuwa kweli bAKHmut is under russian control
 
Porojo za kwenye vijiwe vya kahawa na tangawizi.
Tulia wewe tar 25 mwezi huu nakabidhi Bakhmut kwa Raisi mteule wa Russia.
Nazungumza kama kiongozi msaidizi wa Wagner group hapa mtogole.
 
Back
Top Bottom