Hapo ndio penyewe maana ni ukweli usiopingika, ukweli unaouma, ni swali huwa najiuliza pia nakosa jibu, hivi Afrika aliyeilaani nani, maana Somalia na Sudan tutasaema vita, Uganda tutasema ukosefu wa bahari na pia nchi ndogo na udikteta wa mtu mmoja, lakini Tanzania ina kila kitu, na ndio nchi pekee yake ukanda huu inayotutumia omba omba barabarani wamejaa Kenya kote.
Hapa Kunyatta anafinywa tanyee live! All Kunyans should watch and listen to how the same Chinese built Tazara over 1800km on a mutual respect! Right now Kunyans r Chinese dogs!
Maneno machafu hayo coming from a grown up. You must be living a miserable life geza. You are always in here 24/7 snubbing Kenya. Changamkia maisha bana.life is short