MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuanzia ulipoanza na "mjikomboe" mpaka "bana" ni pumba tupu hapo katikati.
Sadly sina cha kujadili hapo.
Hapo ndio penyewe maana ni ukweli usiopingika, ukweli unaouma, ni swali huwa najiuliza pia nakosa jibu, hivi Afrika aliyeilaani nani, maana Somalia na Sudan tutasaema vita, Uganda tutasema ukosefu wa bahari na pia nchi ndogo na udikteta wa mtu mmoja, lakini Tanzania ina kila kitu, na ndio nchi pekee yake ukanda huu inayotutumia omba omba barabarani wamejaa Kenya kote.