pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Haya ndio madhara ya kutizama Tv. za Kenya na kufatilia habari za Kenya kila uchao. Watz wakitaka kupoteza ufahamu na dikteta wao uchwara wanafatilia za big brother. Upande wa pili nao wanahabari maandas wa kitz wamebanwa hadi basi na kilichobaki tu ni uhuru wao wa kucheza taarabu na bongo fleva.