Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Umeongea kifupi lakini vyoooote. Sijui story gani yako ulishushaga hapa mwamba?. Nakumbuka hivi
 
Mkewako amekupanda kichawani. No matter what
 
umemsahau Maggy, mchepuko wa mzee pamoja na mimba yake na abiria wengine wawili 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Maggie ndo yule wa kulewa naye, mchepuko wa mzee ningeogopa kupigwa risasi, sipendagi kulima mashamba ya watu serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787], hao abiria wengine wooote kwishaaaaa habari yao!


Ki-ufupi nisingekuwa na gari tena mpaka sahv, hela ya mafuta ningetoa wapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…