Sumvya
Member
- Dec 2, 2022
- 82
- 167
Kwa Mara Ya kwanza Nimeusoma Huu Uzi Wiki Nzima Mwaka huu 2025,,Mchana na Usiku wa Manane Hatimae Nimemaliza Ajabu Nikwamba Mpaka Sasa Hayupo Mdau Alie Fungua Code hata Moja. Kweli Jamii forum Hatuna Majasusi(Mosad)Staki Kuamini Hilo.Kwa Upande Mwingine Nampongeza Mleta Uzi #Baba Ariana.