Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Kwa tabia ya INSIDER MAN hii story inatakiwa iwe kama isidingo huyu bwana bado anaendeleza matukio kama kawa amini nawaambia 😁😁
Kah mrefu sana aiseh
rabo juniorHabari yako bwana mdogo Insider,sikia,the simplest way ya kumuacha mama J ni kunipa namba yake, pesa na weaknesses zake nimtongoze nimle halafu nikupe ushahidi umuache uendelee kutembeza fimbo ulimwenguni,kwa pamoja tunaivuruga ndoa yako!
watu mna mambo wallahView attachment 3356898
Hii Story kwa upande wangu nimeiweka kwenye PDF maana haichoshi kuisoma kwa kuirudiarudia pindi unapokuwa bored na ukiwa na nafasi.
Ongeeni na INSIDER MAN akiruhusu nitawawekea hapa.
Yaani uichukue hapa, uiunganishe uweke pdf, alafu tumuombe mwenye nayo aruhusu uiweke hapa,,,, una mavi kichwani ? Nchi ya ajabu sana hii !!!!!View attachment 3356898
Hii Story kwa upande wangu nimeiweka kwenye PDF maana haichoshi kuisoma kwa kuirudiarudia pindi unapokuwa bored na ukiwa na nafasi.
Ongeeni na INSIDER MAN akiruhusu nitawawekea hapa.
tanzania imejaa viwonderYaani uichukue hapa, uiunganishe uweke pdf, alafu tumuombe mwenye nayo aruhusu uiweke hapa,,,, una mavi kichwani ? Nchi ya ajabu sana hii !!!!!
Dahh, asa mkuu nimekukosea nin mpaka unitukane?,Yaani uichukue hapa, uiunganishe uweke pdf, alafu tumuombe mwenye nayo aruhusu uiweke hapa,,,, una mavi kichwani ? Nchi ya ajabu sana hii !!!!!
Nisamehe swahiba kama ntakuwa nimekukwaza 🤝🫂watu mna mambo wallah
Hujanikaza mkuu, kuwa na amani kabisaNisamehe swahiba kama ntakuwa nimekukwaza
IwekweNisamehe swahiba kama ntakuwa nimekukwaza 🤝🫂
Sasa mkuu kitu kizuri kama hicho ni Cha kunyimama kweli? Wengi wetu tukiona TU huu Uzi tunafungua kuona kama Kuna muendelezo, ingelikuwa sio shida kuanza kufungua paragraph wengi wetu tungeanza upya kuisoma kama wewe, usiwe unatutamanisha kitu kizuri kama huna Nia ya kutupa, Mimi sioni sababu ya kutunyima kisa hujamuuliza mwenyewe, Kwa sababu yeye ndie alieiweka hapa watu tuisome hawezi kukataa kisa TU umeunganisha pdf, tupe chuma hicho tupotezee muda maisha yenyewe hayaeleweki, unadhani Kwa Nini nilirudia kuangalia prison break mara 100?Hujanikaza mkuu, kuwa na amani kabisa
Sawa mkuu, nmekupataSasa mkuu kitu kizuri kama hicho ni Cha kunyimama kweli? Wengi wetu tukiona TU huu Uzi tunafungua kuona kama Kuna muendelezo, ingelikuwa sio shida kuanza kufungua paragraph wengi wetu tungeanza upya kuisoma kama wewe, usiwe unatutamanisha kitu kizuri kama huna Nia ya kutupa, Mimi sioni sababu ya kutunyima kisa hujamuuliza mwenyewe, Kwa sababu yeye ndie alieiweka hapa watu tuisome hawezi kukataa kisa TU umeunganisha pdf, tupe chuma hicho tupotezee muda maisha yenyewe hayaeleweki, unadhani Kwa Nini nilirudia kuangalia prison break mara 100?
Ni Kwa sababu haichoshi kama hii story ya bwana mdogo insider man.
Tuwekee basiSawa mkuu, nmekupata