Welcome back Bro.Next week nitawapa UPDATE ya SEASON 3
Hahahah 😂Nasubiri kusikia mengi mama j, iryn, dada wa insider, plus hrkt za maisha... Bila kusahau sehemu za kupata lunch, dinner n.k
Kuna kina Lucy bado plus mtoto wa Upanga yule cc Nourhan secretarybird
Ulishasoma hii story ??Hahahah 😂
Nimecheka sana 😂Nasubiri kusikia mengi mama j, iryn, dada wa insider, plus hrkt za maisha... Bila kusahau sehemu za kupata lunch, dinner n.k
Kuna kina Lucy bado plus mtoto wa Upanga yule cc Nourhan secretarybird
Kwanni madam ?Nimecheka sana 😂
Sehemu za kupata lunch nimecheka nimezijua sehemu nyingi 👌Kwanni madam ?
kwakweli hatuhitaji kuuliza ni huu Uzi tuu 😂Sehemu za kupata lunch nimecheka nimezijua sehemu nyingi 👌
Daah!Next week nitawapa UPDATE ya SEASON 3
Next wk ndio inaishia hvyo insider.Next week nitawapa UPDATE ya SEASON 3
😂😂😂😂Nataka nilete story ya "Jinsi kilimo Cha Mbogamboga kulivyonitoa kimaisha"
Sijui itasomwa ( lol)
Dah watu mnautani sana😂😂Nataka nilete story ya "Jinsi kilimo Cha Mbogamboga kulivyonitoa kimaisha"
Sijui itasomwa ( lol)
Bro next week imefika na inaishia fanya jambo mkuu maana bila shaka season 3 itakua ya moto mno.Next week nitawapa UPDATE ya SEASON 3