Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Noted👍

Noted 👍

Noted 👍..... Lara1 bado sijasoma thread zake ila kwa Analyse haina kubisha, huyu ni 💥💥

Ndani ya Kipindi kifupi nimesoma Threads nyingi sana baada ya hio comment 👆👆 hapo juu. Aisee nimekuja kukutana na visa na Mikasa ni hatari ndugu zangu. Haya maisha yana vingi vya kujifunza yani si masiara ndugu zangu.
HAWA JAMAA HESHIMA SANA KWENU
1. leadermoe R. I. P
2. UMUGHAKA
3. LwandaMagere
4. JBourne59 Salute Sana Mzee wetu🙋🙋🤚
5. KigaKoyo
6. INSIDER MAN
7. Analyse
8. BM X6
9. konda msafi

Bado naendelea Kuzisoma kwa kasi sana nitazidi kuiongeza List. Very Inspiring Live Life Stories, Salute Sana!!!
Hata mimi nimsoma zote hizo
 
Habari zenu wakubwa, nawasalimu. Mambo ni mengi sana kwa sasa, na yananichanganya akili pamoja na masuala ya shule. Kuna baadhi yenu ambao tayari tushakutana humu, na bado ninaendelea kutimiza ahadi zangu taratibu kwa wale niliowaahidi.

Hata hivyo, siwezi kusaidia kila mtu jamani. Ukibahatika ni bahati yako, lakini ukweli ni kwamba wengi mnaniangusha kwenye interview 💔.

Somebody Joseph, umesoma COICT UDSM, naomba unicheki haraka iwezekanavyo. Namba zako hazipatikani, na email hujibu 💔.
 
Mshua hupo! Ningekuja pm japo mimi sio Joseph! Ila pm yako umeifunga!
 
Habari zenu wakubwa, nawasalimu. Mambo ni mengi sana kwa sasa, na yananichanganya akili pamoja na masuala ya shule. Kuna baadhi yenu ambao tayari tushakutana humu, na bado ninaendelea kutimiza ahadi zangu taratibu kwa wale niliowaahidi.

Hata hivyo, siwezi kusaidia kila mtu jamani. Ukibahatika ni bahati yako, lakini ukweli ni kwamba wengi mnaniangusha kwenye interview 💔.

Somebody Joseph, umesoma COICT UDSM, naomba unicheki haraka iwezekanavyo. Namba zako hazipatikani, na email hujibu 💔.
utakuta anashinda tik tok hata email hafungui.....vijana wa hovyo!
 
Habari zenu wakubwa, nawasalimu. Mambo ni mengi sana kwa sasa, na yananichanganya akili pamoja na masuala ya shule. Kuna baadhi yenu ambao tayari tushakutana humu, na bado ninaendelea kutimiza ahadi zangu taratibu kwa wale niliowaahidi.

Hata hivyo, siwezi kusaidia kila mtu jamani. Ukibahatika ni bahati yako, lakini ukweli ni kwamba wengi mnaniangusha kwenye interview 💔.

Somebody Joseph, umesoma COICT UDSM, naomba unicheki haraka iwezekanavyo. Namba zako hazipatikani, na email hujibu 💔.
Nilikuwepo ukumbi wa mwl Nyerere kwenye issues zile za madini but nilihisi utakua unatafutwa na wengi and hence I opted not even to call. Tunasubiri season 3 kwa hamu kubwa.
 
Back
Top Bottom