Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN pole sana ndg, kwa kuondokewa na kumpoteza mtu muhimu sana kwenye harakati zako za utafutaji, naamini Mzee alikuachia jukumu kubwa sana la kumlinda na kumwangalia mchepuko wake pamoja na kijana wake ambaye atazaliwa, japo sijui kama ulilifahamu hili jambo mapema mzee Pama alikuamini na kukupenda sana kama rafiki na kijana wake, hivyo ni jukumu na wajibu wako kuendeleza ile imani aliyoijenga kwako japo kimwili hayupo tena pamoja na wewe lakini naamini kiroho huko alipo bado anaendelea kukufuatilia,
Ushauri wangu kwako kijana, jenga na endeleza imani uliyoiweka kwake wakati yupo hai na hata sasa timiza yote aliyokuasa uyafanye hasa kumlinda na kumwangalia mchepuko wake!
"Amtunze na kumwangalia mchepuko wake"
Bila shaka ameelewa Hilo maana huwez kulima pasipo na mpango wa kuvuna na huwez kuvuna pasipo ya kulima

Bibilia imeliweka hili vizuri maana inasema huwez kukusanya pasipo kutawanya
 
Naamini hapa Insider hawezi play foolish maana mzee alimchukulia kama kijana wake, hivyo anapaswa kumweshimu mchepuko wa mzee kama mama mdogo na asiweke tamaa za mwili mbele!
 
Naamini hapa Insider hawezi play foolish maana mzee alimchukulia kama kijana wake, hivyo anapaswa kumweshimu mchepuko wa mzee kama mama mdogo na asiweke tamaa za mwili mbele!
Kwa upande wangu nadhani anatakiwa amliwaze, kwa maana ya kumfariji kwa Sasa katika kipindi hiki kigum baada ya kumkabidhi gari, akae nae mbali.

Ili aweze kujisimamia mwenyewe, ajiweke mbali ili kuepuka hisia na tamaa za mwili na kumpa nafasi atafute Mwenza mwingine atakayekuwa naee kimapenzi, hii n Kwa Sababu kwa hshima ya marehem insider hawez katu kulala na mamaake huyo.

Lingine ni kwamba aendelee kumsimamia Kwa mbali pale atapotaka msaada tu na si vinginevyo.

Kimahitaji insider hataweza kumuhudumia, Kwa maana kwamba SI rahisi kuhudumia familia t
Yake na mchepuko was Mzee. Ni lazima mchepuko ujue hali ishakuwa hali na niwakat wa kusimama yeye mweyewe
 
Kwa upande wangu nadhani anatakiwa amliwaze, kwa maana ya kumfariji kwa Sasa katika kipindi hiki kigum baada ya kumkabidhi gari, akae nae mbali.
Haya matukio your yameahapita ila nafikiri njia sahihi ni kuendelea kuwa nae karibu na kumwangalia kama vile ambavyo marehemu mzee Pama alipokuwa hai alimwagiza kijana afanye, kikubwa ni nidhamu na heshima tuu maana mzee alimwamini na kwa muda mfupi alimfanyia kijana mambo kadhaa na hii ni kutokana na uaminifu na imani iliyojengeka baina yao, hivyo akiendelea kuwa karibu na mama mdogo siyo dhambi kikubwa ni kutoweka matamanio ya mwili mbele
 
Wasiwasi ni kwamba naye ni mwanamke baada ya kuJifungua atapata huduma zote za uzazi fine. Baadae kitawasha mkuu unadhani hapo itakuaje?
 
Umenichekesha mkuu. Mimi kama insider namkabidhi gari take vizr kabisa.

Kiufupi Kuna mambo hubakigi kama laana tu ukikausha
Duh hiyo haiwezi kuwa kumbukumbu zaidi itakuwa ni wizi na utapeli, na hiyo gari itageuka kuwa mateso kwako maana kumbuka marehemu huwa hawafi
 
INSIDER MAN pole sana ndg, kwa kuondokewa na kumpoteza mtu muhimu sana kwenye harakati zako za utafutaji, naamini Mzee alikuachia jukumu kubwa sana la kumlinda na kumwangalia mchepuko wake pamoja na kijana wake ambaye atazaliwa, japo sijui kama ulilifahamu hili jambo mapema mzee Pama alikuamini na kukupenda sana kama rafiki na kijana wake, hivyo ni jukumu na wajibu wako kuendeleza ile imani aliyoijenga kwako japo kimwili hayupo tena pamoja na wewe lakini naamini kiroho huko alipo bado anaendelea kukufuatilia,
Ushauri wangu kwako kijana, jenga na endeleza imani uliyoiweka kwake wakati yupo hai na hata sasa timiza yote aliyokuasa uyafanye hasa kumlinda na kumwangalia mchepuko wake!
Insider ana nafasi kubwa sasa ya kuwa anajimegea mchepuko wa mzee Pama kwanza amekuwa naye muda mrefu wakati akimsaidia kusimamia ujenzi wa nyumba na mafunzo ya u dreva.Ni swala la muda tu hayo ndiyo maokoto kwa lugha ya mjini.
 
Mimi sio tajiri lakini kuwapa jamaa zangu laki 3 au 5 jambo la kawaida sana tu. Kuna rafiki yangu nime msamehe million 2 kwasababu alianza kupunguza mawasiliano na mimi nikajua huyu hataki kulipa tu. Kwahio acha nimsamehe ili urafiki wetu ubaki
We muongo hata 500 ya mihogo ya chai kesho huna ndio uweze kutoa hiyo pesa ila sishangai maana jamii forum kweli wote mnapesa aisee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nitaendelea kulaumuuu hii kitu Demu anakuita chumbani alafu kwa maelezo ya msimuliaji Ni pisi kali afu hauli mzigo umerogwa????......WW Ni mwanaume kamili kweli????.......jinsi lilivyo pimbi mda mwingine linamfuata chumbani kupiga story na kuchekeana tu......this is simply ulofaaa tu.....
 
Kwa maoni yangu, kwa kuwa msimuliaji hajamla Iryn na inaonekana hakufanikiwa kumla basi episode inayomhusu mzee Pama ni bora kuliko story nzima inayomhusu Iryn.
Ni maoni yangu tu haya wakuu na yaheshimiwe tafadhali.
 
Tufanye wewe ndio insider vipi utaisalimisha au utabaki nayo ili iwe kumbu kumbu ya kumuenzi mzee pama
Hahahaaaaa mzee unanitega, lazima niendelee kuitumia ili kila nikiendesha nimkumbuke mzee Pama R.I.P.
Jeni mwenyewe mchepuko anaiba mme wa mtu,kila mtu afe na chake, alafu jane si ndio alimpalula Insider vile vyombo alivyopewa na mzee Pama. Kwanza Jane hatoi Tips wala nini kwa Insider mie ningemchinjia baharini tu,. Napita na Dualis kulia yy kushoto hata kwenye Mirathi dualis haijatajwa sasa ya nini kijisumbua kumpa mtu kitu hakipo wala hakijui.
 
List ya GREATEST Story tellers wa JF ni ipi?. Mimi japo sijasoma nyingi lakini hawa jamaa wafuatao nawaheshim
1. leadermoe R.I.P
2. UMUGHAKA
3. INSIDER MAN
4. LwandaMagere
5. Bado Sijasoma nyingine ila kuna room ya kupatikana wa nafasi hii km nikikuta story matata 😀

Hiyo list Yako ni batili linapokosekana jina la Analyze.....mpee maua yake....

Unamuachaje kwanza Analyse
Noted👍
Ongeza @kondamsafi
Noted 👍
For me

Analyse and @lara1 ndo watu hatari sana.

After all, hao ni kati ya storytellers wanaojali muda na hisia za wasomaji.

Wengine anaweza kukwambia story ya kweli, lakini ni story! haijulikani muda hasa ni upi.

Once a day? A week? or what....
Noted 👍..... Lara1 bado sijasoma thread zake ila kwa Analyse haina kubisha, huyu ni 💥💥
Kama umeoa sio kila anaekuja mbele yako wakumla unakaribisha mikosi na mabaya kwenye maisha yako na ndoa yako.Be faithful
Ndani ya Kipindi kifupi nimesoma Threads nyingi sana baada ya hio comment 👆👆 hapo juu. Aisee nimekuja kukutana na visa na Mikasa ni hatari ndugu zangu. Haya maisha yana vingi vya kujifunza yani si masiara ndugu zangu.
HAWA JAMAA HESHIMA SANA KWENU
1. leadermoe R. I. P
2. UMUGHAKA
3. LwandaMagere
4. JBourne59 Salute Sana Mzee wetu🙋🙋🤚
5. KigaKoyo
6. INSIDER MAN
7. Analyse
8. BM X6
9. konda msafi

Bado naendelea Kuzisoma kwa kasi sana nitazidi kuiongeza List. Very Inspiring Live Life Stories, Salute Sana!!!
 
Noted[emoji106]

Noted [emoji106]

Noted [emoji106]..... Lara1 bado sijasoma thread zake ila kwa Analyse haina kubisha, huyu ni [emoji95][emoji95]

Ndani ya Kipindi kifupi nimesoma Threads nyingi sana baada ya hio comment [emoji115][emoji115] hapo juu. Aisee nimekuja kukutana na visa na Mikasa ni hatari ndugu zangu. Haya maisha yana vingi vya kujifunza yani si masiara ndugu zangu.
HAWA JAMAA HESHIMA SANA KWENU
1. leadermoe R. I. P
2. UMUGHAKA
3. LwandaMagere
4. JBourne59 Salute Sana Mzee wetu[emoji137][emoji137][emoji1672]
5. KigaKoyo
6. INSIDER MAN
7. Analyse
8. BM X6
9. konda msafi

Bado naendelea Kuzisoma kwa kasi sana nitazidi kuiongeza List. Very Inspiring Live Life Stories, Salute Sana!!!
Jinsi ya kuzipata hizi story unafanyaje? Maana nimejaribu kusachi haziji.

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom