Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mwamba kuna vitu unafeli, cha kwanza tomba ryn atakusaidia mengi amana ana pesa cha pili tumua connection ulizo nazo kupata hela nyingi acha kufurahia kupewa milion wakat watu wanamapesa. omba usaidiwe vitu vikubwa ikiwemo kufungua a biashara kubwa
 
Irene baadae atakuja kufa, ukisoma maelezo ya mleta story utaskia “IRENE ALIKUA NA ROHO NZURI" kaulizia kama hizo znaonyesha Irene nae kesha enda kwa baba mda huu.
Acha mawazo hasi ww.......alikuja (wakati ulopita) irene mzimah tu
 
Irene baadae atakuja kufa, ukisoma maelezo ya mleta story utaskia “IRENE ALIKUA NA ROHO NZURI" kaulizia kama hizo znaonyesha Irene nae kesha enda kwa baba mda huu.
Irene ni mzima kuna sehemu alisema kuwa irene anampenda junior mpaka sasa
 
Hii picha niliipiga SAMAKI SAMAKI siku ya kwanza kwenda na Mzee Pama nikiwa na Mary. Na mpango wa kuitengenezea frame na nitaweka seblen kama ukumbusho.

IMG_2706.jpg
 
Hahahaaaaa mzee unanitega, lazima niendelee kuitumia ili kila nikiendesha nimkumbuke mzee Pama R.I.P.
Jeni mwenyewe mchepuko anaiba mme wa mtu,kila mtu afe na chake, alafu jane si ndio alimpalula Insider vile vyombo alivyopewa na mzee Pama. Kwanza Jane hatoi Tips wala nini kwa Insider mie ningemchinjia baharini tu,. Napita na Dualis kulia yy kushoto hata kwenye Mirathi dualis haijatajwa sasa ya nini kijisumbua kumpa mtu kitu hakipo wala hakijui.
Hata mimi ninge baki nayo kama kitu cha kumuenzi mzee pama
 
Back
Top Bottom