INSIDER MAN pole sana ndg, kwa kuondokewa na kumpoteza mtu muhimu sana kwenye harakati zako za utafutaji, naamini Mzee alikuachia jukumu kubwa sana la kumlinda na kumwangalia mchepuko wake pamoja na kijana wake ambaye atazaliwa, japo sijui kama ulilifahamu hili jambo mapema mzee Pama alikuamini na kukupenda sana kama rafiki na kijana wake, hivyo ni jukumu na wajibu wako kuendeleza ile imani aliyoijenga kwako japo kimwili hayupo tena pamoja na wewe lakini naamini kiroho huko alipo bado anaendelea kukufuatilia,
Ushauri wangu kwako kijana, jenga na endeleza imani uliyoiweka kwake wakati yupo hai na hata sasa timiza yote aliyokuasa uyafanye hasa kumlinda na kumwangalia mchepuko wake!