Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

aseee bora hata Irene yupo !ahahahaha
 
Hatimae iryn kapatikana
 
[emoji91][emoji91]
 

Afadhali yaani nimeshusha pumzi kusikia Irene bado yupo;

But huyo Irene ndio nini kuondoka bila kuaga? Watu nusura wafe na pressure huku Pambafu kabisa. Shwaini!!!
 
Picha nilizipigwa kupitia simu yake maana ndo inauwezo mkubwa, nilimwomba anitumie picha kupitia Airdrop so alituma zote ambazo tuko pamoja na zenye sura yangu tu. Sikupata muda wa kuzipitia toka amenitumia na zile hekaheka ndo kabisa.

Eniweiii wacha tuendelee kupata madini kutok kwako hapo inatufundisha kuwa “linalowezekana leo lisingoje kesho”
 
Usiendekeze mapenzi na kazi.
Japo Sijasoma hiyo 38. Lakini Iryn kwa wema tu kwa ajili ya mambo ya mbele nakuomba tu kama kakaako mpitie haraka bila kuchelewa. Mkandamize vya uhakika for voice of Lucy. Hiyo ni kwa wema tu kwa ajili faida na maisha yetu ya baadae. Maana ukifanikiwa wewe kwa ulivyo wengi watapitia mgongo wako. Na maisha haya hujui huko mbele. Pia nayaona mafanikio yako kwa haraka. Kiukweli kwa kukusoma tu huna baya mdogoangu. Maua yako mengi tu
 
Afadhali yaani nimeshusha pumzi kusikia Irene bado yupo;

But huyo Irene ndio nini kuondoka bila kuaga? Watu nusura wafe na pressure huku Pambafu kabisa. Shwaini!!!
Uwe unaacha ufalaa!! Mamayo!! Ndio ushamba Gani kuquote story nzima!? Renyoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…