Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tangu nikiwa mdogo kindergarten nilipenda 24 zaidi ya 12.
Kindergarten unapenda 24 hours?

Hii ndiyo A, A ,A

Napenda kuhesabu namba moja mbili tatu, nne tano sita .......

Wewe umeshafahamu 24 hours clock? Hili ni bus, konda nirudishie nauli yangu nishuke. Hapana.

Hata kama ni Kindergarten ya Majuu, na siyo vidudu vyetu. Hakuna.
 

Elimu haipo mashuleni tu..
 

inawezekana mkuu binafsi kusoma saa nimejifunza kabla ya kuanza la kwanza tena hiyo hiyo 24hrs hatufanani
 
Mr Insider, yamkini hivi sasa ni msimamizi wa baadhi ya kazi za Iryn, no wonder wiki nzima mwamba hayupo, anasafiri kimataifa. Endelea kutuinspire Man... This story makes me think kuna upande mwingine wa maisha, bora zaidi wa kukutana na watu sahihi wakabadilisha HISTORIA za maisha. [emoji119][emoji119]
 
Insider man na konda msafi mna stori nzuri sema tu wewe una ngekewa sana.
 
Wacha uongo. Sasa hapa mwanaume unalia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…