cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Bila shaka utakuwa muhindi,gabachori,unayejifunza kuandika Kiswahili,manake hata hapa umechapia😂
😂😂😂
Kabiswa...
Nawe hujui kwenda nje ya BOKSI.. jiongezweee
Bila shaka utakuwa muhindi,gabachori,unayejifunza kuandika Kiswahili,manake hata hapa umechapia😂
Kalale huko.....kumbe hata kusoma hujuiNi wapi umemsikia mama janeth akiongea?
Jibu swaliKalale huko.....kumbe hata kusoma hujui
Ni asili ya kila nafsi kutaka kuwa juu ya nyingine na ndio Mana tuna develop kwa jinsi iyo. Yaani huwa kaushindani ndani kwa ndani mwa nafsini zetu. Ingawa Ina ubaya na uzuri wake piaNilikua nimemshika mkono kuonesha hata mimi na chombo kikali ila ukweli sio dem wangu ni bossy wangu na uzuri wa Iryn hakuaga mtu wa kujionyesha.
Mtaalam wewe jasiri sana.....duh!!!
IFike mahali tu tukubaliane mabaharia kwamba mpaka hapa tulipofikia Iryn HALIKI TENAAA!... INSIDER MAN kashawekwa vilivyo kwenye FRIEND ZONE hatakaa aweze kupindua meza tena.Maana Iryn kashawafanya yeye na mkewe na mtoto mpaka dada wa kazi ni family na anawahudumia 😂😂😂😂 yan Iryn akichomoa betri tuu lazima man insider kiwake na kiumane...Kwel Iryn ni genious
Na mimi najitolea kumtengenezea hyo Lipa Namba bure kabisaaa.......,Kwa jinsi story hii inatufundisha mengi naomba insider atafute hata lipa namba tumpe chochote kile. Badala ya kunywa bia 2 ni heri nikupe moja kaka. Be blessed. Msalimie Junior
Enjoy the story cousin sijui Usiku aliendelea na episode 40 lol ndio naingizwa saii!Asante cuzo ndio naingia mida hii
Wabheja sana mkuu ndio nimeingia saiii ngoja niisome!!
Halaf kuna kitu Og na feki hyo buti ni Og sasa mtu akiona feki ya 5000 anafikiri hiko kiatu beipoa, ni expensive i know,Unachopenda wewe mwingine hapendi ndo binadamu tulivyo
afadhari yako wewe,arosto utaisikia kwa majirani tu...Nitarudi. Nimeishia page ya 35. Watu mko page ya 200+
Mtoto mkali hawezi kuwa mme mwenye kiswahili cha kisafwa kama kicho chakoWe bro nakujua. Mimi ndio mme wa Irine. Ngoja nikutafute kwa kuleta habari za Mke wangu huku JF.
Kishamba😂Ila insider.....
Unachanganya sna mbna kila mtu unae kutana nae Ni pisi Mara dad ake prisca kishamba Ni mkali kupita prisca wkt awali umesem prisca kishamba Ni mashine Zaid ,Tena uliyempeleka air port Ni mwnamke mrembo kuwai kumbeba na kumuona
Embu Seema ukweli Nani mkali
Mkeo,prisca,marry ,iryn,wale wa mam wa will au mchepuko wa Yule kigog wa serkali. Nani mkali katk wote ili niweze ku portroyi piss Ni ipi Kali ktk hzo Seema bila kujali
Nitag tafadhali
Kabisa mkuu mi mwenyewe nimepitia na bado napitia.IN ADDITION
Sikuwai kuwapa muendelezo kwa kilichotokea kwa Uncle wangu. Alihama pale Mikocheni alijenga nyumba yake huko Bunju. Sasa mwaka 2020 wachina waliondoka Tanzania, sababu kubwa ilikua ni kodi. Kama mnavyojua Wachina ni wakwepaji wakubwa wa kodi.
Uncle wangu ni mhuni sana alificha gari ya kampuni mpaka leo analo, na baadhi ya madeni alokuwa anakusanya alikua anaficha. Kesi ilikua kubwa ikapelekea wachina kuamisha stoo yao ya Mabag ili kuzikwepa mamlaka za serikali.
Walikua wanafanya kazi ya kuuza mabag store pamoja na kukopesha na kupunguza bei ili yatoke haraka wao waondoke.
Baada ya kuona hali so hali wakaondoka chap, Uncle pesa alizobaki nazo pamoja na madeni ilikua ni zaidi ya million 80, hizi ni taarifa za ndani kabisa nilipata. Sio hivyo tu, walimwachia na Godown kile kiwanda cha assembling, hivyo kulikua na assets kibao kama ma AC, ma fan, na mazaga kibao. Nyumba walokua wanakaa waliacha mashine nyingi kama mashine za kufulia, yaani waliacha mazaga kibao.
Mzee baba akalifumua lile Godown akauza Mabati, mbao, nyaya za umeme, ma AC, ma fan na mitambo kibao. Unaambiwa kupitia lile godown aliingiza si chini ya 20 million. Bado vitu vingine vilivyoachwa na wachina mle ndani.
Baada ya hapo mzee baba alishindwa kupanga mipango mizuri ya zile pesa akaanza kula bata na madem zake, unaambiwa hata home akawa harudi, ukifungua gari lake unakutana na machupa ya wine na bia tu.
Zile pesa hatimae zikaisha na hakufanya jambo lolote la maana la kimaendeleo, Since 2021 life ni gumu sana. Aunt yangu alikuaga mtu wa nyumbani tu, kuna kipindi nilimpaga ushauri afungue hata biashara ya Mabag hata hakutaka kunisikiliza sababu pesa zilikuwepo. Hata Uncle nilimshauri afungue biashara ya kuuza jumla na rejareja bag zote lakini hakunielewa kipindi kile.
Life limegeuka now wanahali mbaya sana kiuchumi, wale watoto zake hawasomi shule japo walifaulu form 4, yule mtoto mkubwa niliongea naye nimsapoti arudi shule lakini aligoma kabisa, alisema anataka akomae na mambo yake shule hapana. Dogo nilishamsapoti na kiasi cha pesa tayari, mambo mengine atajua yeye.
Aunt aliyekua ananiona mimi fala, now ndo ananitafuta niwe namsaidia. Kuna jambo moja ambalo anataka kulifanya ni kuhusu yule mtoto wa mwisho wa kike. Tulikua tunapatana sana hivyo nitamsapoti kwenye masomo yake akianza secondary hiyo ndo plan yangu.
Kipindi nakwenda kuwasalimia nilienda na mke wangu na mtoto, maana hata familia yangu walikua hawaijui na pia niliwakaribisha kipindi cha kutoa mahali na hawakutaka kuja. That time nilienda na gari kabisa.
Maisha ni fumbo kubwa sana, yule unayemdharau ndo anakuja kuwa msaada kwako. Muheshim kila unayemwona mbele yako, hakuna anayejua ya kesho. Kesho yetu sote hapa ni fumbo.