Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣🤣Alipiga uturn pale kwenye kutoweka kwa irynHii stori imekuwa Kama kusubiria maziwa fresh kusubiria yagande ndio tule ugali.....nilichogundua mwandishi huenda ikawa Ni true story ila iko wazi mwandishi hatakii hii story ifike mwisho kasi ya mwanzo inaendelea kupungua huku mbele tunaona uongo uongo mwingi na maneno mengii yasiyo na msingi ili kujaza episode apate neno la kusema...tukutane week ijayo au sitokuwa mjini...Huyu mwamba msanii Sanaa hata Mimi nishamchoka.....hamna msingi wa story kwenye Kila episode imebaki DIALOGUE TU!!!!
Pale ndo story narration yote aliibadil,waliosoma literature kwa hobby kama mie nilimsoma🤣
Na ukiisoma kwa makini uhai wa story uliishia pale
Anyways,good story👌
Mie nashukia hapa faya 🤣🏌️🏌️🏂🏄