Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Kwa mara ya kwanza umeonesha ushamba wako tena watu kama nyie hata zawadi ya boksa hamjawahi pewa na mademu.NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.
Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.
Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.
Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.
City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.
Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.
From no where muajemi anakupa million 3.
From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.
Ofa unapata wewe tu.
Hadi umemsahau mke wako.
Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Hivyo ni vitu vidogo sana kwa wanawake...mwanamke akikupenda utakula vyake hadi ukimbie wewe atahingwa huko nae atakuja kukupa wewe so haviwaumi.
Na kama ushamba wako unakutuma kukuambia huu uzi ni chai basi kifupi tu hujaitwa humu.
Wahi kwa huyo mumeo anae kutuma kutusi watu