Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Naiona dalili ya kuliwa iryn 😂😂😂acha niendelee kufuatilia
 
Hivi kwanini wanawake wanapenda waume za watu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kwelii wanaume za watu wanatia moyo sana[emoji23] Unakuta anakujaza uongo kuhusu mkewe basi unajiona wewe malaika afu mzuri[emoji1787] pia wanajua kutunza since unakuta hujazaa nae ko wanahudumia vizuri ila ukibeba mimba umelikoroga hilo ila wanatia moyo kwakweli wanaume za watu hawa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hivi kwanini wanawake wanapenda waume za watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni comment ....naww umepaste hivo hivo kama swali tenah
Ila kwa ufahamu wanguu mdogo ntasema kuna baadhi ya wanawake akipenda amependa kama Prisca yaani kitaalamu tunasemaga kufa kuoza humwambii kitu ,hashiriki,haambiliki
2.Tamaa ya mafanikio....yaani status ya mwanaume fulani inamshwishi (Mfano yaani insider ana ka kipato fulani hivo hela uwakika wa kuhudumiwa upooo)
3.Kisasi .....kaachwa uku nae anataka kuharibu huku..
 
kuna njia nimegundua hapa ya kusearch, unasearch 'EPISODE' na namba yake afu kwenye member unaweka insider man.... nimejaribu kwenye jf ya web

ngoja nianze kuteremsha uzi,

mbona kazi sana[emoji3064][emoji3064] atokee mtu kama [mention]sky soldier [/mention] alivofanya kwenye ule uzi wa [mention]Akili Sina [/mention]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…