Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

@utajua ujui nishaandaa zana zote za kukudidimizia msumari nikupake bamia au wesee????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana
 
Hongera kwa Utu na upendo ulionao juu wa wale wa karibu yako.

Maisha yanatufundisha vitu vingi sana,sema binadamu tumeumbiwa kusahau.

Naomba kujua ile gari ulimpa Jane,au ulifanya utaratibu gani,na kuna kipi kikubwa Mzee Juma alihitaji kukushilikisha?

Thanks in advance
 

Dah tears on my eyes[emoji24] that romans verse [emoji1487]
 
Inaonekana mwamba ni mdau mkubwa wa story, umemtaja hadi Mzee Dingi wa Analyse.
😂😂Kama ulikuwepo man,,yan stori mingi huwa hazinipiti humu kwa udhamini wa Antonnia na wengine huwa wananiita kwenye stori za maana,,..mzee dingi😂 wa Apostle alikua hatar sana yule,nikikumbuka kile kipindi Analyse anamfuata kimya kimya ili ajue dingi anapoishi na mzee kujua akatimua mbio 😂😂😂,maisha haya ya mjini mjini noma sana man😂😂
 
Ila na nyie wake za watu mkiwa na mchepuko nje hamuishi kwenda kumwaga upupu kwa mchepu wako kuhusu mumeo,yani unamsiginia jamaa kiasi angesikia angejiona kama hanithi kudadeeki zenu😂😂
 
Hatujaja kujifunza maisha humu mkuu insider, wala kutokuchanganya BOLINGO NA NGAI na kazi....Najua unalitambua hili....

All we want it's TELEMUNDO LOVE! Umetukata stimu ujue jeshi !?.... Hasa hapo kwa Irene!!

Umezingua umezingua ujue!

Sema tu unajifanya kama hujui.... kumbe unajua hasira tuliyonayo man....

Nadhani umeshajua WANAMAN WANA! Wanamaindi kinoma!!
 
😮‍💨😤😤hatimae nimefika kwenye arosto😂,wakati nafukuza mwizi kimya kimya nilikua nacheeeka😂 wale wanaolalamika arosto,ss nami nimeikuta,hakuna namna,,ni kuisubiria tu hadi ije maana kuna maisha lazima yaendelee nje ya jeiefu
 
[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…