Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn,Prisca,Mary,Maggy,Mama wawili,Lucy,Suraiya, wote hawa ungepiga na kusingeharibika neno,, kifupi ni kwamba wewe ni wa tofauti sana yani,, ndio maana wana humu ndani wanataka kusikia neno moja tu kuwa umepiga kwa Iryn,, vinginevyo hawatakusamehe,,
 
Ila na nyie wake za watu mkiwa na mchepuko nje hamuishi kwenda kumwaga upupu kwa mchepu wako kuhusu mumeo,yani unamsiginia jamaa kiasi angesikia angejiona kama hanithi kudadeeki zenu[emoji23][emoji23]

Muosha huoshwa pia[emoji23][emoji23][emoji23] japo kuna tofauti ya uchepukaji wanaume ni tamaa na wanawake ujue kakuchoka huyo au jamaa anampa mavituzzz[emoji1787][emoji1787]
 
Mwanangu we naomba utuambie kama utamla Iryn au lah, mimi ndio kitu navumilia kusoma hiz episode..kama humli naieleza nijikatae [emoji23][emoji23]...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…