Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Akupe na kadi ya gari kabisaa[emoji23][emoji23]
 
Bro kwa sisi maskini ndio tunaona ni pesa kubwa ila kwa matajiri ni kitu cha kawaida. We kuliwa 5000 ya nauli unalalamika hadi kuanzisha uzi humu JF ila kwa mwingine ni kitu cha kawaida sana tena hakimfikirishi kutoa gari hilo.
Unajua ongo ya million 500? Mtu apoteze 0.5billion kwa 'ke' alafu azingue! Acha masihara wewe na hela ndefu ya mwanaume!
 
Unafuata condom unakuta sumaiya karudi kwenye utimamu wake unakosa mzigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anaomba maji anazimeza.....sitamsahau mariam nimempanga twende geto....tumeongozana kapita kwake nkatangulia kwangu kufungua geto hakuna ndomu kaja kakuta mlango wazi upo wapi nimeenda kununua ndomu...akanijibu mi naondoka utazinywa na maji.....sijui utamezea na maji.....akayeya....
 
Tafuta pesa wanao waje kuishi maisha ya Iryn. Kwahiyo maskini hatofika mbinguni maana hiyo pure religion yeye hafanyi coz hana kitu.

Bahati huwajia hata wale wafanya maovu mkuu, usikalili mwisho ukatabiria watu mabaya.
Japo ni kweli ni muhimu kufanya ibada na kumtegemea muumba.

Mkuu usijudge mafanikio ya watu kwa kuangalia mema na mabaya yake.
 
Anaanzaje kusanuka sasa, aende kwa bongo movies na wanajiita celeb wa bongo, hao ndo wa kaliba yake, ile out ya zenji tu angeshapewa mpaka mtandao pendwa.
Hakika. Hapo kwa iryn pesa ipo. Njaa hana yakumsukuma kwenye tamaa ya pesa za muajemi
 
Kongole kwako INSIDER MAN kwa simulizi kali isiyochosha. Hata kama unaelezea MAISHA HALISI ya jamaa ama ndugu, unatufundisha wengi humu kutokata tamaa na maisha na kutokuwa na tamaaa.

Nakupongeza kwa misimamo yako ktk maisha (utafutaji, ngono na mahusiano).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…