Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Dreva kaangusha basi stendi
 
Muajemi hajui kucheza na akili ya mwanamke, anafundishwa kutongoza unajua kilichomuathiri muajemi ni pesa. Pesa inakufanya ujihisi mwanamke yeyote unammudu na waweza mpata muda wowote kumbe hamna kwahiyo likija suala la kutongoza unajikuta mweupe pewee peer peer ndio unajikuta unatoboa na Siri za mwanaume mwenzio.

Muajemi ni mmoja ya Kati ya wanaume wapumbavu Sana sijapata kuona.

Katika mapambano ya kumpata mwanamke hatakiwi ajue chochote kuhusu Nani yupo behind the scene Yani aliyefanikisha kilakitu Hadi mwanamke na mwanaume wakakutana na kuzungumza. Sasa analeta ushamba wake wa kiuajemi huko anatoboa Siri.

Wahindi wa waajemi Lao moja mbwa hao.
 
yaani hao mbwa wakikusaidia lazima wakatangaze
 

Naona watu wengi wanamblame muajemi kwa ukenge wake na wanajiona mashujaa ukwel ni kuwa Iryn ni moja ya mwanamke mwenye akili sana
Na anahtajka mwanaume ambae yuko smart sana kichwani kumpata kama una ukenge kama wa muajem hutaweza hata kumsalimia iryn sasa bas kuna kenge wengne tunao ila wanajificha kwenye kivuli cha muajemi na kujiona ni mamba ukwel ni kwamba kenge mtabaki kuwa kenge tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…