Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Apambane na maisha yake asipende mseleleko watamuua wahindi ohooo.
 
Kwahyo ulikuwa chawa wa Iryn [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kila siku nilikuwa naipita hii story subscribe niisome ikiisha, jana nimeanza kusoma mpaka mwisho najutaaaa, kusubiri mpaka ijumaa ni alostoo ya hali ya juu. Bora ningeendelea kuipita mpaka November [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Pole sana, karibu tuteteseke pamoja. ila atakayeanza kuisoma wakati imeshaisha atapata raha sana
 
...mwandishi INSIDER MAN ingefaa uwe unaweka link ya muendelezo kila ukileta unaweka link kwa sehemu iliyopita mwishoni... Au unaweka link za sehemu zote page no.1 nasumbuka kwel natafta ya 3 nakodoa [emoji15] sioni kbsa...
 
INSIDER MAN kabla haujajinyonga niuzie hako ka IST we si unavimba town na Dualis ya Jane,, fanya mambo mzee baba,, ntakupa ofa nzuri tu ya kumuachia Junior na kijacho,,
 
...mwandishi INSIDER MAN ingefaa uwe unaweka link ya muendelezo kila ukileta unaweka link kwa sehemu iliyopita mwishoni... Au unaweka link za sehemu zote page no.1 nasumbuka kwel natafta ya 3 nakodoa [emoji15] sioni kbsa...

Link zipo chini kwa kila episode, kuanzia episode ya 25 ndo sijaweka. Au hazionekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…