Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

After reading this story. Nimegundua wabongo wengi sana wapo empty linapokuja swala la connection katika biashara. Watu wengi wanahisi ni uongo kwa sababu wanaproject fikra zao kwamba haiwezekani kukutana na watu na wakabadili maisha yako.

Nilikutana na mdada kutoka Washington DC kupitia biashara yangu instagram na amebadilisha maisha yangu haswa, yaani najua ni mtu ambaye hatutakuja kupotezana regardless ya yote tuliyopitia, na ni miaka minne sasa na sijawahi kujuta kufahamiana naye. Na sijawahi hata kuwaza kulala naye.
 
Nilishtuka kumuona Iryn kaongozana na mshikaji wakija usawa wangu na walisimama. Muda huu macho yangu yalishuhudia wakikumbatiana na jamaa live na wakiwa zero distance.

Hahaha...

Uliitwa na mchuchu wa Kihabesh ili uone picha la kutisha kama ambavyo nawe huwa Iryn anakukuta na vidosho kina Mary na Prisca...
 
Hahahah acha tuone nini kiliendelea ila ile siku nilipigwa na kitu kizito sana.
Umepigwa na kitu kizito mi nimeumia na siku ya leo naimaliza vibaya japo nahisi tukio ni drama aliyoicheza Iryne akuumize kwa makusudi na amefanikiwa
 
Hii leo

Acha tu niwaweke wazi

Mubaki na mishangao

Kuhusu haya mapenzi

Nataka kuvaeleza

Na le........




Kilichoniponza ufalaaa

Kujiona simba kumbe swalaaa

Kazama kwenye penzi uchwalaaa

Badala ya kusaka miamalaaa




INSIDER MAN kula chuma hicho...
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Mzee watu wana ishi haya maisha Wala usilete ujuaji kisa umekalili
 
Aise! Yani haka kadistance ka j3-ijumaa,kanauumiza kwakweli,sema ndo hivyo tulikubaliana wenyewe, ila ............
 
Back
Top Bottom