Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Khakhakhaaaa!! The pain ya kujua mwamba mwenzio kaipenyesha kasasambua kwenye tamu yakooo!! Tena seems Iryn alikua na minyeee Kwani muda sana alistop kwamuda biznee zake so muhamu kama yotreee!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Ingekua poa INSIDER asingeenda kuliko aliyoyaona anampeleka Iryne kwa apartment yake safari inakua ndefu mno na stress anaweza akasababisha ajali wakati hou Iryne anashangilia ushindi maana kafanikiwa kumuumiza meneja wake
 
True love comes with jelazooooo! Ndio safi Siku wakiamua kupeana kila mmoja atakua na nafeelings kwa mwenzie acha wa buy time!. Nimependa hii drama yao!
 
Ulipoishia nenda page by page, kila kitu kipo kwenye hii thread, ukiwa mvivu utakuja kuomba episode ya 18 na kuendelea.
Ninachoomba mwenye kujua episode ya 18 ilipo aniambie. Kwani toka nimeanza kusoma ya 1 mpaka ya 17 umeona nimeomba hizo episode nyingine?
 
Si ukacheze tu bongo movie mbona scripture za kuandaa movie,action,drama na mzuka upoo 😂
True love comes with jelazooooo! Ndio safi Siku wakiamua kupeana kila mmoja atakua na nafeelings kwa mwenzie acha wa buy time!. Nimependa hii drama yao!
 
Kuna wakati kuna lecturer wa kike mchaga..mweupe alikuwa anaogopwa chuoni balaa...lakini alikuwa hana mume...siku moja tunatoka kwenye sherehe ya mkubwa mmoja...nikamuona nikamsalimu vizuri...nkamwambia kama hutojali naweza kukusindikiza sehemu ya kulala...kumbe mtu keshaanza kulewa na bia za harusi

Si akakubali nikabeba mkoba wake hao....mpaka kwake... nikamvua viatu, akanielekeza chumbani nikashusha net.. nikamkumbatia nkamwambia nakupenda siku zote....si nikapewa romance...nilipiga mzigo chapu bila kuvunga...piga mzigo kwa fujo...wazungu wanaita JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala hard. Kama 2hrs nikamuacha kalala hapo nkaondoka zangu chuo.... toka siku hiyo akiwa na mood nzuri tu, ni sms tu..jioni nkuone nyumbani.

Nikawa nampanda huyo mama mpaka namaliza chuo, tena bila watu kujua.

Sasa unaanza kuleta uboss kwenye papuchi....
mh! eti 2HRS, wana jf bwana yani sijui mpoje hamjawahi piga show mbovu...
 
ubarikiwe kiongozi,
kwahili sakata lako nasemaga linafanana na langu, baada ya kumaliza chuo nilijichanganya kwenye boda, dah kila unachoeleza mulemule me huyo mdada alikuwa anaeka mikono ndani ya tumbo langu
watu hawakuelewi kabisa wanaona chai ila tuliopitia tunaelewa
nishapewa saa ya lak 8 na huyo dada acheni tu tuna siri nzito.

Ambao hawajapitia huu msoto hawawezi elewa. Inabidi utupe hii story mkuu.
 
F3vI7OPbgAAnjVd.jpeg
 
Ingekua poa INSIDER asingeenda kuliko aliyoyaona anampeleka Iryne kwa apartment yake safari inakua ndefu mno na stress anaweza akasababisha ajali wakati hou Iryne anashangilia ushindi maana kafanikiwa kumuumiza meneja wake

Hahahah acha tuone nini kiliendelea ila ile siku nilipigwa na kitu kizito sana.
 
Back
Top Bottom