Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Poa sana tu INSIDER MAN anazingua sana akiendelea hivi vyeo vyote tunamvua
True, Irene alishaelekea Qibla ila jamaa naona kakaza tu...

Ngoja tuone episode inayofuata, huenda labda Irene ameamua kuja na jamaa wa mchongo ili kumrusha roho insider au huenda Irene amepigwa mbupu kweli who knows 🤷‍♂️?

Tusubiri next episode jombaa
 
Ndugu zangu leo mmenitukana sana ila nataka niwaambie kitu kimoja, Heshima haipatikani kitandani. Tutafute hela kwa bidii sana na ukipata fursa ya Pesa usilete masikhara.

Niko hapa Kidimbwi na Mary this time kama kuna mwana JF upo around unaweza nijulisha.
Lete episod lingine
 
Kuna wakati kuna lecturer wa kike mchaga..mweupe alikuwa anaogopwa chuoni balaa...lakini alikuwa hana mume...siku moja tunatoka kwenye sherehe ya mkubwa mmoja...nikamuona nikamsalimu vizuri...nkamwambia kama hutojali naweza kukusindikiza sehemu ya kulala...kumbe mtu keshaanza kulewa na bia za harusi

Si akakubali nikabeba mkoba wake hao....mpaka kwake... nikamvua viatu, akanielekeza chumbani nikashusha net.. nikamkumbatia nkamwambia nakupenda siku zote....si nikapewa romance...nilipiga mzigo chapu bila kuvunga...piga mzigo kwa fujo...wazungu wanaita JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala hard. Kama 2hrs nikamuacha kalala hapo nkaondoka zangu chuo.... toka siku hiyo akiwa na mood nzuri tu, ni sms tu..jioni nkuone nyumbani.

Nikawa nampanda huyo mama mpaka namaliza chuo, tena bila watu kujua.

Sasa unaanza kuleta uboss kwenye papuchi....
Ahahaaaaa....! Analeta uboss kwenye papuch
 
Iryn alilipanga tu tukio. Yule msela hajatafuna kibumunda. Hapo nia ilikuwa kujua mwamba nae ataumia...! Kwa hili zoezi amewin tayari. Kazi sasa nawaza hata INSIDER MAN akimtafuna Iryn,haka kashikaji alikotoka nako,ninavyomjua mwanamke huko mbele nako atakatunuku kibumunda. Maana haiwezekani waishie kuigiza tu
 
Ndugu zangu leo mmenitukana sana ila nataka niwaambie kitu kimoja, Heshima haipatikani kitandani. Tutafute hela kwa bidii sana na ukipata fursa ya Pesa usilete masikhara.

Niko hapa Kidimbwi na Mary this time kama kuna mwana JF upo around unaweza nijulisha.
Usije ukawa umelewa mwamba?. Usijaribu kuwaita tu wana-JF walio karibu, halafu kweli wakaja ukajoin nao wakakufahamu na wakamfahamu na Mary,baadae wakakuletea unoko mwamba. Kaa mbali
 
Ndugu zangu leo mmenitukana sana ila nataka niwaambie kitu kimoja, Heshima haipatikani kitandani. Tutafute hela kwa bidii sana na ukipata fursa ya Pesa usilete masikhara.

Niko hapa Kidimbwi na Mary this time kama kuna mwana JF upo around unaweza nijulisha.
Usitufundishe maisha ..tuna namna zetu za kuchanga karata na mamb yanaenda. Unachotushauri hakihusianibna wewe kumgonga Iryn
 
mkuu tujulishe kama utapost tena leo, ama tungoje wiki nyingine. in farisayo voice
 
Inauma sana najihisi ndio mimi imenitokea live
Khakhakhaaaa!! The pain ya kujua mwamba mwenzio kaipenyesha kasasambua kwenye tamu yakooo!! Tena seems Iryn alikua na minyeee Kwani muda sana alistop kwamuda biznee zake so muhamu kama yotreee!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
 
This week Ijumaa.
ubarikiwe kiongozi,
kwahili sakata lako nasemaga linafanana na langu, baada ya kumaliza chuo nilijichanganya kwenye boda, dah kila unachoeleza mulemule me huyo mdada alikuwa anaeka mikono ndani ya tumbo langu
watu hawakuelewi kabisa wanaona chai ila tuliopitia tunaelewa
nishapewa saa ya lak 8 na huyo dada acheni tu tuna siri nzito.
 
Ndugu zangu leo mmenitukana sana ila nataka niwaambie kitu kimoja, Heshima haipatikani kitandani. Tutafute hela kwa bidii sana na ukipata fursa ya Pesa usilete masikhara.

Niko hapa Kidimbwi na Mary this time kama kuna mwana JF upo around unaweza nijulisha.

Mzee bdo upo kidimbwi
 
Back
Top Bottom