SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
mwamba ameanza kusua sua anaenda kwa kikao na mchepukoEPISODE 55
“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”
CONTINUE
Nilitoka pale Mlimani city kuelekea Masaki lakini wakati niko njiani nilikuwa nawaza kabla sijamtafuta mama wa2 niwe nimeandaa CV kwanza.
Kwa upande mwingine Mzee Juma naye toka tuachane kule msibani hatukuwa na mawasiliano zaidi tuliwasiliana mara moja tu na alinambia anakwenda China akirudi angenijulisha. Mama wa2 ndo alikuwa tumaini langu pekee kwa kipindi hiki kigumu, maana sikuwa hata na senti imebaki pesa zote nilituma Dodoma kwaajili ya ujenzi.
Niliwaza pale kuendelea kuwa mtumwa na kuishi kwa stress bora niwe na mipango ya muda mrefu ya maisha. Niliwaza pale nimalizane kwanza na nyumba then nipangishe ili nianze kupata hela za kodi. Kuhusu suala la Prisca niliona ni bora nikanunua bodaboda ili iwe inaangiza pesa za matumizi kwaajili yake.
Kwa upande wa mama J nilikuwa nimemalizana naye na bajaji ilikuwa inafanya vizuri sana, Dogo hakuwa msumbufu kabisa kwenye hesabu. Kwa upande mwingine toka Bajaji ianze kazi nilikuwa sijawai kutoa hata senti ya matumizi pale nyumbani kila kitu alikuwa wife ana takecare maana tulikubaliana hivyo.
Muda huu niliplan nikimalizana na nyumba na mimi nitaanza kufanya biashara na niliplan kufungua biashara Dodoma, maana kwa ukanda huu niliona competition ni ndogo ulinganisha na Dar.
*******
Baada ya kuwasili pale Masaki niliingia ndani nikawasalimia wote pamoja na wateja na nilimuomba Sumaiya anisaidie kutoa box la wigi ambalo natakiwa peleka Posta.
Baada ya dakika kadhaa Sumaiya alirudi na box na nikaliweka nyuma ya buti na muda huu Sumaiya alianza maswali yake.
“Insider yule dada wa asubuhi ni nani?”
“Ni mteja vipi kwani? Mbona unaniuliza.”
“Alinambia ni Mbotswana nilitaka kujua umefahamianaje na yule black beauty.”
“Kwani mimi na wewe tulifahamianaje?”
“Sometimes unakuwaga na majibu ya shombo sana wewe mwanaume.”
Na mimi niliishia kumpa kofi la kalio “paaah” maana niliona amenza kunispy, kuna muda nilikuwaga nahisi kama kanatumika na Iryn. Na mimi niliingia ndani ya gari na nikaanza safari ya kupeleka mzigo posta.
Baada ya kupeleka mzigo nilikwenda kwa kina Prisca ili nikawachukue niwapeleke kwao Mbezi na muda huu ilikuwa jioni tayari. Wakati niko chuoni UDSM Prisca alinipigia simu kuniuliza niko wapi maana mama yao anawapigia sana simu na mimi nikamwambia nakaribia.
Baada ya kuwasili pale niliwakuta wako tayari wamejiandaa na tukaondoka muda uleule kuelekea Mbezi. Ni safari iliyochukua dakika 30 hivi na tulikuwa pale getini kwao nje na gari,
MARY: “Insider twende ukamsalimie mama mkwe itakuwa sio vizuri kuishia getini.”
MIMI: “Kwa leo hapana huku nitakuja official siku nyingine.”
MARY: “Prisca na wewe unakubali Insider kuishia nje.?”
PRISCA: “Si atakuja officially? no problem muache tu kwa leo.”
MARY: “This is not good idea ni sawa kama unaona hivyo.”
Na mimi muda huu niliishia kuwaaga maana niliona wameanza kubishana pale nje getini. Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano.
Baada ya kurudi home nilitulia na Macbook yangu na nilikuwa nikiandika CV muda huu. Mzee Pama alinielekezaga namna nzuri ya kuandika CV hivyo nilikuwaa naandaa kwa makini sana.
******
Kwa upande mwingine toka tuongee na Muajemi kuhusu suala la pesa alikuwa hajatuma pesa wala kunirudia na mimi ile asubuhi niliamua kumtext kwa whatsapp.
“Hi bro!.”
Haikuchukua dakika 5 Muajemi alikuwa kanirudia tayari,
“Safi kaka Unaendeleaje?”
“Namshukuru Mungu, naona kimya hukunirudia kuhusu lile suala letu au umesha giveup niachane na huu mpango?”
“Bro! hapana hivi sikukutumia?”
“Yeah hujatuma bro na Iryn kakubali huu mpango.”
“Bro! nakutumia hapa now nitumie account number yako maana chats za nyuma nilifuta.”
“Sawa bro! nakutumia soon.”
Na mimi nilifanya kumtumia haraka muda huu,
“Bro! soon utaipata pesa nakuaminia sana kwa hili.”
“Usiajali kaka mimi ndo mtabe kwenye haya mambo andaa ahadi yako tu.”
“Bro usiwaze wewe fanikisha hili tu mimi sina shida.”
Baada ya dakika 2 nilipata ujumbe kutoka NMB na alikuwa ametransfer million 12, nikasema huyu fala mimi na yeye ndo bhasi tena na haya ni malipo ya ujinga wake, shenzi kabisa na niliishia kumtukana Muajemi kwa upumbavu wake. Muda huu niliwaza ile pesa sitoigusa kabisa itabaki bank kama saving.
Ofcourse Muajemi kama pesa alikuwa nazo sana si unajua tena wafanyabiashara wa mafuta wanahela chafu sana.
Saa 4 asubuhi muda huu nilipigiwa simu na mama wa2 na aliomba kama niko jirani nikamchukue ofisini kwake, sababu nilikuwa niko Masaki na nilikuwa free niliamua kwenda kumchukua.
Kwa upande mwingine mama wa2 alikuwa ameanza majukumu mapya na alihamishiwa HQ.
Baada ya kuwasili pale ofisini kwake alitoka na tukaanza safari ya kwenda kwake,
“Mama mkwe shida nini? Mbona mapema sana leo?”
“Nimeamua kutoroka ofisini nataka kwenda kule site Madale, vipi upo free unipe kampani? maana mafundi wanazingua afu nataka mwezi ujao nihamie.”
“Pole sana , mimi niko free tunaweza kwenda tu.”
Baada ya dakika 20 tulikuwa pale kwake na Mama wa2 aliingia ndani kubadilika na tukaondoka kwenda Madale.
Baada ya kufika Madale kwenye mjengo wake nilikuta mabadiliko makubwa sana kwenye ile nyumba, Mama wa2 alikuwa kashaweka aluminium tayari, tyres na kipindi hiki mafundi walikuwa wanatengeneza vyooni.
Muda huu nilisikia mama wa2 analalamika kwa mafundi na mimi nikasogea ili kujua tatizo ni nini.
MIMI: “Dada shida ni nini? Mbona unalalamika?”
MAMA WA2: “Toka last week mafundi hawajaweka makabati wananizungusha sana na pesa nimewapa.”
MIMI: “Msimamizi ni nani hapa?”
MAMA WA2: “Mhusika mkubwa ametoka ila huyu kaka naye ongea naye ndo msimamizi kwasasa.”
MIMI: “Fundi shida ni nini? kama malipo tayari mmelipwa au kwakuwa ni mama ndomana mnamsumbua?”
FUNDI: “Kiongozi hapana material ndo inasumbua ndomana.”
MIMI: “Hizi ndo sound zenu mafundi unaweza prove hili ni kweli? maana najuana na supplier wengi wa materials au nipige simu mbele yako na uwasikie? Sipendagi watu waongo mimi. Dada naomba usitoe pesa yoyote kwasasa pia nawapa siku 2 muwe mmeweka makabati hapa jikoni. Mwambie na bossy wako ajue hili lasivyo nitawalaza Police wote, dada unawachekea sana mafundi ndomana wanakuchezea.”
MAMA WA2: “Sijui wanaona mimi ni mpole sana ndomana, bora hata tulivyokuja wote.”
FUNDI: “Kaka tusamehe sana kwa hili nitaongea na bossy.”
Mama wa2 kwa upande wake alifurahi sana baada ya kuwatia jamba jamba mafundi. Na muda huu tukiwa bado pale fundi mkuu alipiga simu akasema ndani ya siku 2 kila kitu kitakuwa sawa.
Kwa upande mwingine nilimpongeza mama 2 kwa hatua ya ujenzi aliyofikia na tukaondoka maeneo haya na tulipia kwanza pale Montana lounge kupata lunch.
Na wakati tukipata lunch nilimgusia suala la kazi na akanambia niandae CV mapema then nimtumie ili aanze kuandaa mipango mapema ya connection.
************
Jumatano nilikuwa nina miadi na Prisca na ile Jioni ningeonana na Iryn. Kwa upande wa Prisca nilitakiwa nikamfanyie shopping kuanzia mavazi, viatu na mahitaji mengine muhimu ya mama mjamzito.
Kwa upande mwingine niliona Prisca ni kama mke wangu mdogo hivyo anahitaji kupata furaha pamoja na kumjali maana amebeba kiumbe wangu. Na pia sikutaka kuona akiwa kwenye mawazo ndomana nilisema nitaandaa mpango wa kuwa nalala naye mara moja moja.
Saa 4 asubuhi nilikwenda kumchukua pale kwao na tuliondoka kwenda Sinza lakini tulipitia kwanza pale Africana bank ya NMB na hapa nilifanya ku withdraw pesa kidogo kwenye ile pesa aliyo tuma Muajemi.
Tulikwenda maduka ya Sinza kufanya manunuzi kuanzia mavazi maana Prisca mavazi yake asilimia kubwa ilikuwa ni suruali, pensi na vigauni vifupi, hivyo this time nilimnunulia magauni marefu na yale ya kuachia. Nilimnunulia mkoba mkubwa kwaajili ya kwenda nao clinic, viatu kama raba na vitu vingine vingi.
Tulitumia kama masaa 3 kumaliza kila kitu na baada ya hapo tulikwenda pale Down hill mlimani kupata lunch, na muda huu tukipata lunch tulikuwa tunazungumza mambo mengi,
“Babe Jumatatu ijayo nitaanza field.”
“Ooh utafanyia wapi?”
“Ofisini kwa mama Posta.”
“Sawa mwenyewe nampango ukifungua chuo nitakuwa nakuja kulala na wewe siku moja moja.”
Prisca baada ya kusikia maneno yangu alifurahi sana.
“Babe nimefurahi sana kusikia hivyo nikianza field nitarudi kwangu.”
“Mmh wewe maliza kwanza field na mfungue chuo, kipindi hiki sio kizuri kukaa alone.”
“Da Mary pia alinipa hii idea na yeye kachoka kukaa home so nitakuwa na da Mary.”
“Kama hivyo sawa haina shida.”
Baada ya kupata lunch tulikwenda kwake Changanyikeni kupumzika maana tulikuwa tumechoka sana na tuliishia kulala pale kitandani.
Mimi baada ya kuamka nilikwenda kukaa pale seblen na nilikuwa naangalia Tv, sasa baada ya nusu saa Prisca alikuja akiwa ameshika simu yangu na akanikabidhi pale,
“Baby ongea na mtu wako anataka kuongea na wewe.”
Mimi ile kucheki alikuwa ni Iryn na simu ilikuwa imepokelewa tayari. Muda huu ndo nikakumbuka nilikuwa na miadi ya kukutana na Iryn maana nilisahau kabisa.
MIMI: “Hello Bossy.”
IRYN: “Insider unakumbuka leo tuna meeting?”
MIMI: “Ukweli nilisahau hata hivyo siko mbali nakuja soon naomba tukutane hapo Tripple 7.”
IRYN: “Sikuelewi sikuhizi naona unapoteza umakini day after day, na uli arrange mwenyewe. Upo wapi kwa sasa?”
MIMI: “Niko Survey hapa nakuja soon.”
IRYN: “Survey ndo wapi?”
MIMI: “Opposite na Mlimani city.”
IRYN: “Ok I’ll be there soon.”
Na muda huu Prisca alikuwa akiniangalia sana wakati naongea na simu.
PRISCA: “Babe huyo ni nani? Mpaka unamdanganya?.”
MIMI: “Ilikuwaje ukapokea simu ambayo siyo yako?”
PRISCA: “Umemsave mtu “Bossy lady” unafikiri sipatwi na wivu? Na hujanijibu huyo ni nani.”
MIMI: “Huyo ni Bossy wangu ndomana nime msave hivyo.”
PRISCA: “Tunakwenda wote huko Triple 7 mnako kwenda kukutana.”
MIMI: “Mambo ya kiofisi wewe unataka kwenda kufanya nini? hata Bossy si ataona namdharau?, hata kitendo cha kupokea simu yake umezingua sana.”
PRISCA: “Honey tunakwenda wote huko mpaka unambie huyo ni nani Kwako, maana nimeanza kupatwa na wasiwasi.”
MIMI: “Ok unamkumbuka yule dada wa siku ile niliyempelekea documents kule Palm Village?”
PRISCA: “Ndo yule dada? Mbona kama nyinyi ni wapenzi? hata ile siku niliumia sana tu ila nilinyamaza but something fishy kinaendelea kati yenu.”
MIMI: “Yule ni Bossy wangu usianze kufikiri vibaya hapa, Prisca please.”
PRISCA: “Insider najua huna mwanamke mwingine zaidi yangu na Mama Junior, usifikiri niko tayari kuona unaongeza mwanamke mwingine hili sitokubaliana na wewe kabisa. Kama kweli huyo ni bossy wako naomba twende wote huko otherwise usije kunitafuta tena na hii mimba nitalea mwenyewe.”
MIMI: “Ok twende kama unataka hivyo chukua vitu tuondoke.”
Kwenye maisha yangu sipendagi kugombana au kubishana na mwanamke ndo mimi nilivyo.
TO BE CONTINUED
Hapo hata mm naona ni bad ideamwamba ameanza kusua sua anaenda kwa kikao na mchepuko
Ww ushazingua tayari kusema mzee wake anaumwa tenah.......Muajemi kama ulipanga kumpiga tukio,ilitakiwa liwe tukio la maana. Ksbb alishapagawa na Iryn, Ilitakiwa tu utengeneze mpango mkubwa.
Mpango ungekuwa hivi Iryn kwa sasa ana mpango wa kununua eneo pembezoni mwa bahari. Sasa eneo lenyewe linauzwa milioni 300,kalipia 150 . Bado 150. Sasa wenye eneo ni kama wana haraka na hiyo pesa wanaweza kuuza kwingine,na Iryn wamezinguana na mshikaji so uhakika wa kupata 150 hiyo kwa haraka haupo,labda anategemea mpaka mwezi ujao na hataki kumghasi babaake ksbb anaumwa. Hivyo nimeona hapo ndio pa kuweka sawa mpango wetu. Nafikiri tukamlipie hiyo 150 kimya kimya iwe suprise kwake Iryn.
Anakuamini asingeshtuka huu mpango. Vile vile uwe tayari akiushtukia basi iwe hivyo,lakini akinasa ndoano iwage ina mashiko. Na anavyomhitaji kwa udi na uvumba hilo angejaa. Bora mwindane kwa mambo yenye kusikika mliooo
Ushazingua tayari. Unaenda na mwanamke kwenye issue za kikazi?EPISODE 55

Kipengele hicho, alishindwa "kumkazia kibabe"mwamba ameanza kusua sua anaenda kwa kikao na mchepuko
[emoji23][emoji23]Nimechoka kuwa mpenzi msomaji
Sasa niwe mpenzi mkomentiji.
Hakunaga Demokrasia kwenye mahusiano au Ndoa ila hii Demokrasia yako tena multiparty inatupeleka kusiko
Enewei mwambie Prisca achukuwe muhtasari wa kikao maana kaamua kuwa Katibu muhtasi
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Kipengele hicho bro, sijui itakuwajeUshazingua tayari. Unaenda na mwanamke kwenye issue za kikazi?
Lala tuShukrani Mkuu...., Tunaendelea au nilale[emoji848]
Kabisa yaan nimeboreka na kitendo cha prisca kupokea simu na kung'ang'ania waende wote.. kama upole hii ni too muchMtanisamehe, Insider sio gentleman. He's just weak to ladies!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Duuh story imeanza kuleta feedback...Hivi wanawake wenzangu huyu insider mwenye roho nzur hivi naacbaje kimpa penzi??
Au ni Mimi tu ? najisikia hivi
The conqueror, the emperor, the champion, the lion is here.EPISODE 55

Watu wanaulizia ule msala wako ulitoka salama?Haya..