Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimekuona muda mrefu sana ukitafuta attention kwenye huu uzi ila kwa kukusaidia tu ni kwamba wanaume kwenye huu uzi huwa hawazagamui wanaume wenzao so jaribu kwenye thread nyingine
umemaliza ili nianze? mwenye uzi kakaa kimya kinachokuwasha nn, au nikufuate pm tuyajenge, i have a big dck and i know how to use it, utaenjoy sana.
 
Uzi unazidi kunoga inogile stori imefikia patamu
•Kazi zinamfuata INSIDER MAN
•Tusikurupuke kufanya maamuzi mara nyingine tenah mawazo yetu KWA iryn yanaangukia pua🤣🤣🤣

Nasubiri muendelezo tu asee stori ni tamu balaa inaelimisha,inaburudisha,inasisimua ..Ndugu INSIDER MAN chukua 🌹💐yako Bravo⭐⭐⭐⭐
 
Haya maisha hayana usawa insderman ana uhakika wa kazi 3,kwa iryn,mzee juma na mama wa2.
Sisi wengine hata kazi za saidia fundi tunatolewa mbio

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu na alichoandikiwa endelea kupambanaa ipo siku milango itafunguka tuu MUNGU tunaemwomba wote ni mmoj na hana upendeleo ni swala la muda tuu mkuu
 
Haya maisha hayana usawa insderman ana uhakika wa kazi 3,kwa iryn,mzee juma na mama wa2.
Sisi wengine hata kazi za saidia fundi tunatolewa mbio

Uaminifu ndo kila kitu kwenye haya maisha safari yangu na Pama ilikuwa ni ndefu sana ni vile sikutaka kuweka matukio yake mengi. Kuna jambo likitokeaga ndo likapelekea Pama kunipenda na kunikubali siku nitawapa Addition.

Ila cha muhimu ni UAMINIFU na hapa wengi tunafeli sana.
 
huwa nawahasa sana vijana wanatamaa sana kuna baadhi ya kazi unaona umeenyeka vya kutosha unafika kwa boss unaplace bei kubwa inayoongozwa na tamaa ya siku 1.
taja bei ya kawaida boss ndo aone kuwa kakuonea hapo trust inaongezeka.
 
Back
Top Bottom