Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Watu8 mwangaza umeanza kuonekana Kwa mbaali
 
Kupinga ruksa na Sitaki mkose hamu ya story tuendelee kusubiri ndugu yetu anavyotiririka.
 
Hivi Kuna mtu kakulazisha kusoma huu Uzi inakuwaje mpenzi jamani wanaume hizi ni.athari za kumwacha mtu ghafra sasa huyu kaachwa stress ndo anazimalizia hapa muwe mnatoa taarifa
Kwani wewe kuna mtu kakulazimisha kuandika ujinga mtu usiingilie kitu hujui so nisemwe vibaya nikae kimya . Kisa ni mtu wako au?? Hii jf kama hujasoma vizuri imeandika ni sehemu huru
 
Sasa nyie maua ugomvi wenu nini. Mtakuwa magugu sasa Unique Flower flowerss

Amani itawale juu yenu warembo na tuendelee kupata story pale tunapopumzika na kazi.

Story kama hizi za akina INSIDER MAN zinasaidia kusogeza muda wale walio kituo cha basi wanasubiri usafiri, wako restaurant au hotel kusubiri chakula, walioingia kitandani wakisubiri wapitiwe na bwana usingizi.

Yaani kila mmoja anapita nayo kwa nafasi yake na lazima fiction fulani ziwepo ndani yake ili kuficha codes.
 
Sasa shida ipo kuna mtu kanitukana nikamjibu sasaa yeye akaingilia kitu hajajibiwa yeye sasa ametokea wapi??
 
Kiuhalisia by connecting the dots inaonekana ndoa ya mzee baba na mama J ilishakufa. Tusubiri nani aliivunja kati ya Prisca na Iryn. Ila maneno ya mama kwenye tafsiri ya ndoto yalitimia.

Kwa sasa acha nibaki naisoma kama story zingine.
Hata ungekua wewe ni mama j ungekimbia tu yaani mwanamke yupo karibu na mme wako kakuzidi kila kitu hadi zambi kiroho safi tu unaachia usukani Kwani shingapi bana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Noonuunoo kwa kweliii noonuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…