Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,023
- 3,434
Muajemi kumpiga anastahili.
Mpige kinaijeria tu maana hamna namna.
Mpige kinaijeria tu maana hamna namna.
Kazingua sanaMuajemi kumpiga anastahili.
Mpige kinaijeria tu maana hamna namna.
Angekuwa kibaka asingekabidhi gari kwa Jane bali angepita nalo tu
hamnaga urithi ujombani, hata vitabu vya dini vinakataa hili bila kupepesa macho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka sana comment yako, mkuu yupo dunia yake
Kiufupi amefikia mahali pa kutembea kwenye snow bila viatu hahaa tumvumilie....kampoteza mzee pama, iryn ndo uyo kaenda, muajemi na ndoto za biashara ya lubricants inaelekea kuyeyuka, uber imekata, kiuhalisia hakuna maisha yasokuwa na ups n downKiufupi story imeanza kukosa msisimko iliyoanza nao tokea mwanzo.
Sina baya na msimuliaji,bali ni mtizamo wangu tu.
Mkuu, ulipopewa hela na jane kipindi ametoka msibani ulisema utalipa deni lako kwa mama wawili, ila hujagusia kama ulilipa deni
Vipi kuhusu ujenzi wako pia
Mkuu unataka niwe nandika kila kitu? Yaani niandike nilikwenda kwa mama 2 kulipa deni?[emoji1][emoji1544].
Suala la ujenzi ni binafsi ndomana siandiki progress humu ndani[emoji3]
Mkuu kapotray movie za kibongo kabisa, ingekuwa bongo movie hapo lazima mtoto angepewa nafasi ya kutegemewa azaliwe Me ili awe mrithi wa mali utasikia ndio mboni ya jicho la bibi na babu since hawana mtoto wa kiume. Yaani sijui huwa tunawaza nini aiseehamnaga urithi ujombani, hata vitabu vya dini vinakataa hili bila kupepesa macho.
Mwisho wa siku jamaa atakuja kuchukua hata nafasi ya Insider hapo kazini[emoji1787]Wale mademu wawili wa salon lucy na yule kimbaumbau aliyechaniwa bikini akaachwa na upwiru wake walishayatabiri haya kuwa mwisho wa siku iryn atapata mjanja wa kumkaza utabaki unashangaa tu, hahah.
Me boss wake atanilajee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tatizo Insider amekusifia sana mpaka vijana wamammind kwann asikulishe muhogo muda huu
Huo mjengo wa ghorofa ndio wako nini mkuu?
em liwa yaishe bana, ujue tupo tunafuatilia tu uliwe basi tukate mguu humu [emoji23][emoji23]Me boss wake atanilajee