Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

EPISODE: 52

CONTINUE….

Jamaa alikuwa ni lightskin na urefu wa wastani lakini ukimtizama anaonekana ni foreigner kabisa. Ofcourse jamaa alikuwa yuko vizuri sana Handsome na Gentleman na alionekana kuwa very caring kwa Iryn.

JAMAA: “Bro! how are you?”

MIMI: “Am fine.”

IRYN: “This is my driver call him Insider.”

JAMAA: “Oooh, Insider good to know you Bro!.”

Na mimi sikujibu chochote mudaa huu niliamua kunyamaza kwanza niliona Iryn kazingua sana kwa kitendo cha kunitambulisha kama dereva kwake na sio operation manager, niliona zile ni dharau, nilijisemea kweli Iryn kanichoka tayari.

Na muda huu walikuwa wakiongea na lugha waliyokuwa wanatumia ni kifaransa hivyo ilikuwa ngumu kuelewa wanachoongea. Muda huu niliishia kuwatazama kupitia mirror ya katikati ya gari, maana hii unaweza itumia kuangalia kwa upande wa seat za nyuma. Na walionekana kuwa close sana na mimi niliishia kutukana tu kimoyomoyo, ofcourse jamaa alikuwa yuko vizuri na alikuwa na hadhi ya kutoka na Iryn.

Baada ya kuwasili pale Capetown nilisogeza gari mpaka mlangoni ili washukie pale karibu, kwa upande wangu nilikuwa sawa hata sikuonesha sign yoyote ila kwa ndani nilikuwa naumia sana sema unajikaza kiume tu.

IRYN: “Insider nilijua unapark gari tushuke wote.”

Niliona Iryn ameanza dharau yaani mimi niongozane nao ili wawe wanapenzika mbele yangu na mimi nawaona?, si ningeishia kuwa mpiga picha tu pale.

MIMI: “No mimi siwezi ingia naenda Masaki ofisini wewe ukiwa tayari nijuze nije chap.”

JAMAA: “Bro we need your company, please join us.”

MIMI: “Thank you Bro! Don’t worry about me.”

Walishuka kwa gari na niliishia kuwaangalia wakiingia ndani huku wameshikana mikono na wakitembea mwendo wa taratibu sana. Daah maanninnerr niliishia kutukana tu kimoyo moyo na muda huu nilishtushwa na honi ya nguvu ya gari tena ile ya hasira maana jamaa aliona kama napoteza muda tu pale.

Na mimi muda huu niliamua kuondoka maeneo yale na nilikwenda mpaka Cocobeach kupoteza muda. Baada ya kuwasili pale nilikwenda kukaa sehemu ambayo mara ya mwisho nilikuwa na Iryn.

Nilitafuta angle nzuri nikakaa na niliagiza heineken 2 za kunywa. Muda huu nilikuwa kwenye mawazo sana, kwanza niliona Iryn kama ananifanyia dharau

“Hivi Iryn ananionaje? yaani mimi kuwa dereva wa kumpeleka batani na jamaa yake? No haiwezekani kwakweli.”

Kwa upande mwingine nilikuwa sina maamuzi maana nilisign mkataba wa kazi, hivyo nilikuwa sina ujanja.

“Nafikiri kwa sasa nifocus na maisha yangu, Iryn sio mpenzi wangu na mimi ni mme wa mtu haina haja ya kuingilia faragha zake. Kwasasa nitafocus na maendeleo ya kampuni tu na nitafanya kazi kwa bidii sana.”

Nilijua kabisa mwanamke akikuchoka inatakiwa uanze kuwa adimu machoni pake ili aanze kukumbuka, pia niliwaza hata kwake nitaacha kwenda kabisa.

Wakati nikiwa deep kwenye mawazo nilishutka baada ya mtu kunishika mkono na mbele yangu alionekana dada mzuri tu mwenye asili ya uarabu na alikuwa kajifunika mtandio mwepesi kichwani.

“Kaka mambo?, naweza kukaa hapa?”

“Ndio unaweza kukaa, karibu.”

“Ahsante mbona hivyo? unashida gani? Au ni mapenzi?, nimekusalimia naona kimya mpaka nikaamua nikushtue kwa kukushika.”

“Hamna bhana ni maisha tu ndomana yanafanya niwe hivi.”

“Pole sana maana nimekuonea huruma sana, hata mimi back 2 weeks ago nilikuwa hapa na mawazo kama wewe.”

“Shida nini kwa mrembo kama wewe kuwa na mawazo?”

“I had a boyfriend ambaye tulidate kwa miaka 7 lakini nilikuja kufound out ana mahusiano mengine. Unajua kaka niliumia sana, I cried nikaamua kuja hapa kupoteza mawazo.”

“Kwanini sasa ulie kisa mapenzi?”

“Kinachoumiza ni kupoteza muda kwa mtu ambaye tayari mlikuwa na malengo ya kufika mbali.”

“Pole sana ila kwa uzuri wako naamini utapata mtu sahihi.”

“Upo sahihi but am 29 yrs now kwa kipindi chote ambacho nimepoteza muda si ningekuwa mbali sana.”

“Sometimes remember everything happen for a reason. Huwezi jua mipango ya Mungu juu yako ni ipi.”

“Ni kweli, vipi hapa ndo unapendeleaga kukaa?”

“Yeah sometimes but ni rare sana ila ndo maeneo yangu. Jina lako nani dada?”

“Naitwa Sia na wewe?”

“Naitwa Khalid”

Niliamua kumdanganya tu jina maana mimi nikikutana na stranger maeneo kama haya huwa sitaji jina langu halisi.

“Ok kaka nimefurahi leo kukufahamu.”

“Shukuru Mungu stress ndo zimenileta hapa otherwise tusingejuana.”

Na muda huu dada aliishia kucheka tu ni kama alikuwa surprised na jibu langu. Tulipiga story nyingi sana muda huu hata yale mawazo yangu ni kama yalipotea.

Muda huu nilipigiwa simu na Dullah na alinambia yuko Samaki samaki amemshusha abiria kama nitakuwa around tuonane. Saa yangu ilikuwa inaonesha saa 4, kwa upande mwingine Iryn alikuwa hajanirudia bado, hivyo nikaona bora nikapoteze muda na Dullah.

Nililipa bill zote pamoja na ya dada lakini hakujua kama nimemlipia na mimi nikamuaga nikaondoka pale.

“Sia mimi nakukukimbia nafikiri ipo siku tutaonana tena, byeeh.”

“Ahsante sana kaka kwa kampani yako leo.”

Niliwasiliana na Dullah na akanambia amepark gari mbele ya Jackies na mimi nikaenda kupark gari pale. Nilishuka kwa gari na tukaanza kupiga story na Dullah kwa pale nje,

DULLAH: “We ms*nge usinambie yule mrembo anakuhonga sana mpaka umedaka chuma mpya asee.”

MIMI: “Hahaha kuwa mpole kijana mimi ndo next level hata U-senior inabidi niurithi sasa.”

DULLAH: “Daah hongera sana Man hii Dualis ni kiwembe sana, na ile Ist vipi si nikupe hela tu.”

MIMI: “Ile siwezi uza asee nafikiri kununua nyingine tena ile nitampa mama watoto wangu.”

DULLAH: “Huna njaa ndomana, kwanza pole sana kwa msiba wa Mzee. Nilikuwa simjui ila mpaka umeacha Uber kweli alikuwa muhimu sana kwako.”

MIMI: “Ndo hivo Mzee baba kila kitu ni mipango ya Mungu. Tuingie hapo Jackies nikupe offa ya dinna.”

DULLAH: “Daah sawa bwana mimi sina usemi.”

Tulichil na Dullah pale Jackies na tuliagiza msosi na maongezi yetu yaliendelea pale. Kubwa zaidi ni suala la kumuoa mrembo wake Latifah na alisema november watafunga harusi.

Kwenye mida ya saa 6 kasoro simu yangu ilianza kuita kucheki alikuwa ni Iryn na baada ya kupokea alinambia nisogee wanataka kuondoka. Nilimuaga Dullah na mimi nilikwenda pale Capetown kuwachukua.

Na baada ya kuwachukua tuliondoka maeneo yale na wakati tuko njiani Iryn alisema niwapeleke moja kwa moja mpaka kwake. Njiani walionekana wakiongea na wakiwa kwa ukaribu sana kwa upande wangu nilikuwa busy na kusikiliza music like someone I don’t care.

Baada ya kuwasili pale kwake walishuka kwa gari na walini-wish usiku mwema wakaondoka.
Nilijisemea pale “huu mwaka hakuna rangi nitaacha kuona kama jamaa ameanza kuingizwa kwenye apartment ya Iryn bhasi siku zangu zinahesabika tu.”

Nilikuwa naumia ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nijikaze tu kama mwanaume.

******

Jumatatu huduma zilikuwa zinaanza kutolewa ofisi mpya ya Mikocheni na ofisi zote za Sinza na Mikocheni zilifungwa. Wafanyakazi wa Sinza nao walikuja pale kuungana na wale wa Mikocheni na kufanya jumla yao kuwa 8 pamoja na Lucy.

Kwa upande wangu niliona wafanyakazi wanatosha na ule mpango wa Iryn wa kuongeza wafanyakazi nilimshauri ausitishe kwanza ila afanye kuajiri mtu wa usafi tu. Pia nilimshauri afunge internet fiber tuwe tunalipia kwa mwezi kidogo itasaidia kuvutia wateja na pia wafanyakazi watapost sana product zetu na kuitangaza kampuni. Iryn aliunga mkono wazo langu na akanambia nitafute mtu wa kufunga internet pamoja na mtu wa usafi.

Na mimi sikuchelewa kuna mtu nilikuwa nafahamiana naye kipindi kile nakaa kwa Uncle alikuwa jirani. Yeye alikuwa anafanyia kazi kampuni moja inadeal na haya mambo ya telecom bhasi nikampa ile kazi na akafunga internet kwaupande wa Masaki ilikuwepo. Baada ya internet kufungwa niliona dada pale ofisini wakifurahia free Internet kama iliwaongezea morale ya kazi, hata Lucy alinipongeza kwa hili.

Kwa upande mwingine kuna baadhi ya vitu vilibakia saloon za Mikocheni na kule Sinza maana havikuwa na kazi tena hivyo tulifanya kuviuza na Lucy na tulipata milion 3 na ushee, tukagawana. Kwenye Saloon mpya kila kitu kiliwekwa kipya ni vitu vichache sana ambavyo vilitoka kwenye hizi saloon zilizofungwa.

Ratiba zangu pia zilibadilika kuanzia hii week, kwa ile asubuhi nikimpeleka mama wa2 kazini nilikuwa napitia Masaki kwanza naangalia kama kila kitu kipo sawa kuanzia mazingira, usafi, maji na umeme then nakwenda kumalizia Mikocheni. Nikimaliza ukaguzi na kujihakikishia kila kitu kipo sawa nilikuwa narudi zangu home mapema kucheza na Junior.

Kwa upande wa watoto wa kule Masaki shuleni, hii week walikuwa wamefungua shule na taarifa mbaya ni kwamba madogo wawili waliamishwa shule akiwemo Carol. Hivyo walibaki watoto wa2 tu wa kuwapeleka na mimi nikaamua kuachana na hili dili maana niliona kwangu ingekuwa hasara tu.

Jumatano nilikwenda Kariakoo kuonana na jamaa niliyempa kazi ya kuprint Tshirts na nilikuta amemaliza tayari na alifanya kazi nzuri sana.

Nilitoka Kariakoo na nilikwenda moja kwa moja mpaka Masaki na nilimpa T-shirts Sumaiya ili azigawe kwa wafanyakazi wake maana zilikuwa kwa size tofauti. Baada ya hapo nilitoka nikaenda Mikocheni nikaonana na Lucy nikampa T-shirts awape wafanyakazi wake. T-shirts zilikuwa ni nzuri na ziliwapendeza sana na waliishia kunishukuru na kunipongeza.

Muda huu niliamua kuondoka pale Mikocheni na nilirudi home kupumzika pamoja na kucheza na Junior. Lakini baada ya kurudi home nilikuta Junior hayupo na dada akanambia Iryn alikuja akaondoka naye.

“Dada una uhakika ni Iryn aliyekuja?”

“Ndio kaka ni yeye na amekuja na gari nyeusi, amekaa hapa akampa na uji akasema anaondoka naye atamrudisha badae, mmepishana kidogo tu.”

Nilivyosikia gari nyeusi ilibidi nishtuke kwanza, maana Iryn hana gari. Ilibidi nimpigie simu Iryn ili nicomfirm kama ni kweli alikuja mchukua Junior, na baada ya kuwasiliana naye alisema yuko naye na atamrudisha badae.

Nilikumbuka kwa mama Janeth kuna Range nyeusi hivyo Iryn atakuwa aliamua kuifuata ile gari iliyokuwa ya mama yake. Na muda huu nilijisemea,

“Daah! Iryn mpaka kaenda kuchukua gari kweli hataki usumbufu na mimi.”

Baada ya kukuta Junior hayupo niliamua kwenda zangu kwa Prisca ili nikapoteze muda pia nilikuwa nimem-miss sana. Kipindi hiki walikuwa wako kwenye mitihani na ilikuwa ni week ya mwisho na alikuwa anasubiri mtihani wa mwisho ijumaa.

Saa yangu ilikuwa inaonesha ni saa 7 kasoro za mchana wakati nawasili pale kwake na nilimkuta akiwa na Eva wanasoma Sebleni. Niliwapa hi! na mimi nikaenda zangu chumbani kulaa, lakini baada ya dakika 5 nikiwa chumbani Prisca alikuja,

PRISCA: “Honey are you okay? Seems like you’re not ok.”

MIMI: “Niko poa swirry please come.”

PRISCA: “Nataka nikakupikie chakula.”

MIMI: “Mimi nataka ugali na kitimoto, wapi wanauza hapa kitimoto? Ugali nitakusaidia leo kupika.”

PRISCA: “Ngoja nimpigie simu bodaboda alete.”

MIMI: “Mara hii ushawajua bodaboda?”

PRISCA: “Baby mara nyingi namtumia kwenda sokoni na kuniletea vitu.”

MIMI: “Ni sawa ila pia sitaki kukuona ukipanda bodaboda not safe.”

PRISCA: “Sawa honey ngoja nikaandae mboga ya majani.”

Na mimi sikuchukua muda nilikwenda jikoni kumsaidia kupika ugali na muda huu Eva alikuwa yuko busy anasoma.

MIMI: “Shem nakuona upo busy unatafuta 1st class nini?.”

EVA: “Shem acha nasoma hizi statute za sheria zinanichanganya tu hapa. Mwenzangu Prisca coursework yake ni nzuri hana stress kama mimi.”

MIMI: “Pole sana, utatoboa usijali.”

PRISCA: “Honey tukimaliza paper si unatutoa out? Twende hata Tips.”

MIMI: “Wewe na hali hiyo bado unataka kutoka out? Si ulitaka kuwa mama? Utabaki hapa mimi nitatoka na Eva.”

PRISCA: “Honey nimeacha kutumia alcohol nitakunywa hata mocktail, kidogo nitoe hangover za mitihani.”

MIMI: “Sawa haina shida nitawatoa mka-enjoy.”

Na muda huu nilikwenda jikoni kumsaidia Prisca na yeye alikuwa akikata kata viungo vya mboga.

Alikuwa amevaa kigauni kifupi ambacho kiliishia chini ya usawa wa makalio sasa akiinama mambo yote nyuma yalikuwa hadharani.

MIMI: “Baby kwanini huvai pichu?”

PRISCA: “Honey hutaki mwanao apumue?

Na mimi niliishia kunyamaza tu muda huu, nikakumbuka hata mama Junior alikuwa hapendelei kuvaa pichu enzi za ujauzito wake.

Hii siku nilishinda na Prisca mpaka usiku, wakati naondoka niliamua kumpa cash tsh. 300,000/= kwaajili ya matumizi na yake binafsi.
*******

Ijumaa Prisca alimaliza mitihani yake lakini baada ya kutoka kwa mtihani alianza kuumwa. Nilipigiwa simu na Eva na akanipa taarifa hizi na nikamwambia atangulie Kairuki hospital nitawakuta huko.

Nilichelewa kuwasili pale na nilikuta tayari wameonana na doctor na majibu ya vipimo yalionesha ana homa. Tuliondoka pale hospital kurudi kwake na nilishinda naye siku nzima pale kwake tukiwa na Eva.

Kwa upande mwingine Prisca alinambia kesho jumamosi atarudi kwao na pia akaongee na wazazi kuhusu suala la mimba. Mimi niliona ni jambo jema kurudi kwao na kutoa taarifa ili wazazi wajue kinachoendelea.

Hii siku hatukutoka kama tulivyopanga sababu ya kuumwa kwa Prisca, hivyo wakati naondoka ile jioni nilimwambia Eva tuongozane ili nikawanunulie vinywaji.

Wakati niko njiani na Eva tulikuwa tunaongea mambo mengi tu likiwemo la Prisca, na kubwa alitaka kujua nimejipangaje kwenda kwa kina Prisca. Pia alikuwa anashangaa kuona silali pale kwa Prisca ni kama alikuwa ananipeleleza ajue kwanini. Niligundua Eva hajui chochote na hakuna ambacho Prisca kamwambia na mimi nilishia kumpa sababu za uongo.

Niliingia na Eva pale Mlimani city kununua vinywaji na baada ya hapo alirequest Uber ya kumrudisha Changanyikeni.

Tuliachana pale na mimi nilikwenda Parking nilikopark gari ili niondoke lakini wakati nimeingia kwenye gari niliangalia siti ya pembeni yangu na nikaishia kumkumbuka Mzee Pama muda huu.

Nilikumbuka mara ya mwisho wakati nampeleka Airport alikuwa amekaa pembeni yangu tunaongea. Muda huu niliwaza kumpelekea gari Jane, niliona ni muda sahihi wa kumkabidhi gari yake.

“Mzee najua haupo kimwili lakini kiroho tupo pamoja. Hukutaka kipindi kile kumpa gari Jane sababu alikuwa bado hawezi kuendesha. Kwasasa anaweza hivyo ni wakati sahihi wa mimi kumkabidhi gari yake. Rest In Peace Mzee.”

EPISODE 53[emoji116]
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
 
Pamoja na kwamba Insider alishindwa kutumia nafasi yake kwa Irene lakini hata Irene hajatumia busara kwenye haya mahusiano yake mapya. Hakukuwa na haja ya kumuonyesha Insider au kukumbatiana mbele yake. Anachofanya Irene ni kumkomoa Insider ili amuumize. Sidhani hata kama huyo jamaa anapendwa na Irene na mapenzi ya hivi huwa hayadumu. Na usishangae Irene akamuacha huyo mwanaume akaanza tena kujipendekeza kwa Insider au akaenda kwa mwanaume mwingine.

Nilichojifunza kwenye mapenzi ni usifanye kwa kumkomoa mtu. Mapenzi ya kumkomoa mtu mwingine huwa hayadumu na mwisho wake utajikuta unajilaumu kwa uliyoyafanya. Na mara nyingi huyo unayemkomoa unakuwa unampenda sana na unafanya hivyo kumuumiza na kumbe ndio unaharibu mazima na mwisho unaishia kuumia zaidi kwa sababu na huyo unayemkomoa hatakutaka tena na huyu uliyezuka naye unajikuta humpendi basi unabaki unajilaumu. Na hichi ndicho kitakachompata Irene. Nasemea hivi kwa uzoefu wangu mwenyewe
Hata Insider alifanya mambo mengi ya kumuumiza Iryn ikiwemo kufinya na wakina Sumaiya mara wakina Mary wamnunie Iryn na anawapakiza pamoja abiria wake.
 
TO BE CONTINUED.
Dah, pole sana Insider man, Iryn nae ameamua kukulipiza kama ulivyokuwa unamjibu wakati akikuukiza kuhusu Marry, naamini next time ukipata nafasi nyingine kua na ukatibu nae kamwe hutafanya jambo la kumuumiza tena!
 
Story hii nafikiri ni moja ya story bora kabisa kuwahi kuandikwa hapa JF.

Nampongeza sn Mkuu INSIDER MAN kwanza kwa uandishi wake wa viwango vya hali ya juu ukizingatia kwamba anayapanga matukio katika hali ambayo inamfanya msomaji awe na suspense ya kujua nini kinafuata kwenye mtiririko wa hii story.

Nimetumia siku 4 kuanzia eposod ya kwanza mpk hapa alipoishia huyu mwamba, nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day, week after the same etc. etc.(according to my analytical eye) kwa hii story.

KILICHONIVUTIA
1. Sehemu nyingi za ukanda wa kuanzia Posta kurudi kaskazini yote ya Dar nimezunguka sn maeneo yale na barabara zote pamoja na maeneo mengi anayoyaeleza msimuliaji nimekuwa nikiyapita so nilikuwa naenda naye bampa to bampa.

2.Msimuliaji ana bahati sn ambayo ni 'unique' hizi bahati zinawapata watu wachache sana. It's God given!

3.Kuna mtu humu amekuwa akicomment hii story na neno lake moja tu la 'NUKTA ' yeye hana maneno mengi kwenye coments zake kiasi ambacho naye amekuwa kivutio...

4. Kuna wajuba walimshukia Ndg INSIDER kwa nguvu ya 5G kuwa mwandishi anayoadithia ni 'Chai' kiasi ambacho kilipelekea uzi kuchafukwa na mwandishi kutaka kuwithdraw ila nguvu ya wana JF iliwazima kama moto wa kibatari.

USHAURI:
Mkuu INSIDERMAN napenda niungane na wana JF wachache waliodokeza kuwa weka kitu hiki kwenye kioo( TV) utengeneze hela. Nahakika na kwasababu unatembea na bahati usishangae unapiga hela kupitia contracts na wadau wa tamthilia kama Dstv or Azam
Mwanangu Mimi jina lako lazima nilianzishie uzi, eti bendera ya bati. Hahahaha!!!
 
Urafiki na ukaribu uliokuwa nao na Iryn ulikuwa unapendeza na kufurahisha kwa kweli ila ndo hivyo uliharibu kwa kuchukua hela kwa Mwarabu ili kumuunganishia ampate Iryn, kwa lugha nyingine Iryn aliona ni kama unamuuza wakati mara nyingi alikusisitiza anakuamini sana
 
Kale ka wimbo ka Mapacha watatu, hasa verse ya Kharid Chokoraa kana make sense sana kwa kipindi alichokuwa anapitia jamaa. But huyo dem kuna message anaituma kwa jamaa. Kuna siku ataliwa tu.
 
Me binafsi naona upo sahihi kutomla Irene coz naona kama ungetoka ukamla angekumiliki kwa asilimia kubwa na angekuaribia ndoa yako na mipango ya maisha coz alishakuzidi status.... Mpaka Sasa naona umecheza vzr kwenye nafasi yako.
Pia kingine kinacho fanya unatoboa kirahisi maisha ni kwasababu ugongi wanawake ovyo coz uwa Kuna mikosi ukiendekeza hzo mambo

BIG UP SANA MZEE
 
EPISODE: 52

CONTINUE….

Jamaa alikuwa ni lightskin na urefu wa wastani lakini ukimtizama anaonekana ni foreigner kabisa. Ofcourse jamaa alikuwa yuko vizuri sana Handsome na Gentleman na alionekana kuwa very caring kwa Iryn.

JAMAA: “Bro! how are you?”

MIMI: “Am fine.”

IRYN: “This is my driver call him Insider.”

JAMAA: “Oooh, Insider good to know you Bro!.”

Na mimi sikujibu chochote mudaa huu niliamua kunyamaza kwanza niliona Iryn kazingua sana kwa kitendo cha kunitambulisha kama dereva kwake na sio operation manager, niliona zile ni dharau, nilijisemea kweli Iryn kanichoka tayari.

Na muda huu walikuwa wakiongea na lugha waliyokuwa wanatumia ni kifaransa hivyo ilikuwa ngumu kuelewa wanachoongea. Muda huu niliishia kuwatazama kupitia mirror ya katikati ya gari, maana hii unaweza itumia kuangalia kwa upande wa seat za nyuma. Na walionekana kuwa close sana na mimi niliishia kutukana tu kimoyomoyo, ofcourse jamaa alikuwa yuko vizuri na alikuwa na hadhi ya kutoka na Iryn.

Baada ya kuwasili pale Capetown nilisogeza gari mpaka mlangoni ili washukie pale karibu, kwa upande wangu nilikuwa sawa hata sikuonesha sign yoyote ila kwa ndani nilikuwa naumia sana sema unajikaza kiume tu.

IRYN: “Insider nilijua unapark gari tushuke wote.”

Niliona Iryn ameanza dharau yaani mimi niongozane nao ili wawe wanapenzika mbele yangu na mimi nawaona?, si ningeishia kuwa mpiga picha tu pale.

MIMI: “No mimi siwezi ingia naenda Masaki ofisini wewe ukiwa tayari nijuze nije chap.”

JAMAA: “Bro we need your company, please join us.”

MIMI: “Thank you Bro! Don’t worry about me.”

Walishuka kwa gari na niliishia kuwaangalia wakiingia ndani huku wameshikana mikono na wakitembea mwendo wa taratibu sana. Daah maanninnerr niliishia kutukana tu kimoyo moyo na muda huu nilishtushwa na honi ya nguvu ya gari tena ile ya hasira maana jamaa aliona kama napoteza muda tu pale.

Na mimi muda huu niliamua kuondoka maeneo yale na nilikwenda mpaka Cocobeach kupoteza muda. Baada ya kuwasili pale nilikwenda kukaa sehemu ambayo mara ya mwisho nilikuwa na Iryn.

Nilitafuta angle nzuri nikakaa na niliagiza heineken 2 za kunywa. Muda huu nilikuwa kwenye mawazo sana, kwanza niliona Iryn kama ananifanyia dharau

“Hivi Iryn ananionaje? yaani mimi kuwa dereva wa kumpeleka batani na jamaa yake? No haiwezekani kwakweli.”

Kwa upande mwingine nilikuwa sina maamuzi maana nilisign mkataba wa kazi, hivyo nilikuwa sina ujanja.

“Nafikiri kwa sasa nifocus na maisha yangu, Iryn sio mpenzi wangu na mimi ni mme wa mtu haina haja ya kuingilia faragha zake. Kwasasa nitafocus na maendeleo ya kampuni tu na nitafanya kazi kwa bidii sana.”

Nilijua kabisa mwanamke akikuchoka inatakiwa uanze kuwa adimu machoni pake ili aanze kukumbuka, pia niliwaza hata kwake nitaacha kwenda kabisa.

Wakati nikiwa deep kwenye mawazo nilishutka baada ya mtu kunishika mkono na mbele yangu alionekana dada mzuri tu mwenye asili ya uarabu na alikuwa kajifunika mtandio mwepesi kichwani.

“Kaka mambo?, naweza kukaa hapa?”

“Ndio unaweza kukaa, karibu.”

“Ahsante mbona hivyo? unashida gani? Au ni mapenzi?, nimekusalimia naona kimya mpaka nikaamua nikushtue kwa kukushika.”

“Hamna bhana ni maisha tu ndomana yanafanya niwe hivi.”

“Pole sana maana nimekuonea huruma sana, hata mimi back 2 weeks ago nilikuwa hapa na mawazo kama wewe.”

“Shida nini kwa mrembo kama wewe kuwa na mawazo?”

“I had a boyfriend ambaye tulidate kwa miaka 7 lakini nilikuja kufound out ana mahusiano mengine. Unajua kaka niliumia sana, I cried nikaamua kuja hapa kupoteza mawazo.”

“Kwanini sasa ulie kisa mapenzi?”

“Kinachoumiza ni kupoteza muda kwa mtu ambaye tayari mlikuwa na malengo ya kufika mbali.”

“Pole sana ila kwa uzuri wako naamini utapata mtu sahihi.”

“Upo sahihi but am 29 yrs now kwa kipindi chote ambacho nimepoteza muda si ningekuwa mbali sana.”

“Sometimes remember everything happen for a reason. Huwezi jua mipango ya Mungu juu yako ni ipi.”

“Ni kweli, vipi hapa ndo unapendeleaga kukaa?”

“Yeah sometimes but ni rare sana ila ndo maeneo yangu. Jina lako nani dada?”

“Naitwa Sia na wewe?”

“Naitwa Khalid”

Niliamua kumdanganya tu jina maana mimi nikikutana na stranger maeneo kama haya huwa sitaji jina langu halisi.

“Ok kaka nimefurahi leo kukufahamu.”

“Shukuru Mungu stress ndo zimenileta hapa otherwise tusingejuana.”

Na muda huu dada aliishia kucheka tu ni kama alikuwa surprised na jibu langu. Tulipiga story nyingi sana muda huu hata yale mawazo yangu ni kama yalipotea.

Muda huu nilipigiwa simu na Dullah na alinambia yuko Samaki samaki amemshusha abiria kama nitakuwa around tuonane. Saa yangu ilikuwa inaonesha saa 4, kwa upande mwingine Iryn alikuwa hajanirudia bado, hivyo nikaona bora nikapoteze muda na Dullah.

Nililipa bill zote pamoja na ya dada lakini hakujua kama nimemlipia na mimi nikamuaga nikaondoka pale.

“Sia mimi nakukukimbia nafikiri ipo siku tutaonana tena, byeeh.”

“Ahsante sana kaka kwa kampani yako leo.”

Niliwasiliana na Dullah na akanambia amepark gari mbele ya Jackies na mimi nikaenda kupark gari pale. Nilishuka kwa gari na tukaanza kupiga story na Dullah kwa pale nje,

DULLAH: “We ms*nge usinambie yule mrembo anakuhonga sana mpaka umedaka chuma mpya asee.”

MIMI: “Hahaha kuwa mpole kijana mimi ndo next level hata U-senior inabidi niurithi sasa.”

DULLAH: “Daah hongera sana Man hii Dualis ni kiwembe sana, na ile Ist vipi si nikupe hela tu.”

MIMI: “Ile siwezi uza asee nafikiri kununua nyingine tena ile nitampa mama watoto wangu.”

DULLAH: “Huna njaa ndomana, kwanza pole sana kwa msiba wa Mzee. Nilikuwa simjui ila mpaka umeacha Uber kweli alikuwa muhimu sana kwako.”

MIMI: “Ndo hivo Mzee baba kila kitu ni mipango ya Mungu. Tuingie hapo Jackies nikupe offa ya dinna.”

DULLAH: “Daah sawa bwana mimi sina usemi.”

Tulichil na Dullah pale Jackies na tuliagiza msosi na maongezi yetu yaliendelea pale. Kubwa zaidi ni suala la kumuoa mrembo wake Latifah na alisema november watafunga harusi.

Kwenye mida ya saa 6 kasoro simu yangu ilianza kuita kucheki alikuwa ni Iryn na baada ya kupokea alinambia nisogee wanataka kuondoka. Nilimuaga Dullah na mimi nilikwenda pale Capetown kuwachukua.

Na baada ya kuwachukua tuliondoka maeneo yale na wakati tuko njiani Iryn alisema niwapeleke moja kwa moja mpaka kwake. Njiani walionekana wakiongea na wakiwa kwa ukaribu sana kwa upande wangu nilikuwa busy na kusikiliza music like someone I don’t care.

Baada ya kuwasili pale kwake walishuka kwa gari na walini-wish usiku mwema wakaondoka.
Nilijisemea pale “huu mwaka hakuna rangi nitaacha kuona kama jamaa ameanza kuingizwa kwenye apartment ya Iryn bhasi siku zangu zinahesabika tu.”

Nilikuwa naumia ila sasa sikuwa na jinsi ilibidi nijikaze tu kama mwanaume.

******

Jumatatu huduma zilikuwa zinaanza kutolewa ofisi mpya ya Mikocheni na ofisi zote za Sinza na Mikocheni zilifungwa. Wafanyakazi wa Sinza nao walikuja pale kuungana na wale wa Mikocheni na kufanya jumla yao kuwa 8 pamoja na Lucy.

Kwa upande wangu niliona wafanyakazi wanatosha na ule mpango wa Iryn wa kuongeza wafanyakazi nilimshauri ausitishe kwanza ila afanye kuajiri mtu wa usafi tu. Pia nilimshauri afunge internet fiber tuwe tunalipia kwa mwezi kidogo itasaidia kuvutia wateja na pia wafanyakazi watapost sana product zetu na kuitangaza kampuni. Iryn aliunga mkono wazo langu na akanambia nitafute mtu wa kufunga internet pamoja na mtu wa usafi.

Na mimi sikuchelewa kuna mtu nilikuwa nafahamiana naye kipindi kile nakaa kwa Uncle alikuwa jirani. Yeye alikuwa anafanyia kazi kampuni moja inadeal na haya mambo ya telecom bhasi nikampa ile kazi na akafunga internet kwaupande wa Masaki ilikuwepo. Baada ya internet kufungwa niliona dada pale ofisini wakifurahia free Internet kama iliwaongezea morale ya kazi, hata Lucy alinipongeza kwa hili.

Kwa upande mwingine kuna baadhi ya vitu vilibakia saloon za Mikocheni na kule Sinza maana havikuwa na kazi tena hivyo tulifanya kuviuza na Lucy na tulipata milion 3 na ushee, tukagawana. Kwenye Saloon mpya kila kitu kiliwekwa kipya ni vitu vichache sana ambavyo vilitoka kwenye hizi saloon zilizofungwa.

Ratiba zangu pia zilibadilika kuanzia hii week, kwa ile asubuhi nikimpeleka mama wa2 kazini nilikuwa napitia Masaki kwanza naangalia kama kila kitu kipo sawa kuanzia mazingira, usafi, maji na umeme then nakwenda kumalizia Mikocheni. Nikimaliza ukaguzi na kujihakikishia kila kitu kipo sawa nilikuwa narudi zangu home mapema kucheza na Junior.

Kwa upande wa watoto wa kule Masaki shuleni, hii week walikuwa wamefungua shule na taarifa mbaya ni kwamba madogo wawili waliamishwa shule akiwemo Carol. Hivyo walibaki watoto wa2 tu wa kuwapeleka na mimi nikaamua kuachana na hili dili maana niliona kwangu ingekuwa hasara tu.

Jumatano nilikwenda Kariakoo kuonana na jamaa niliyempa kazi ya kuprint Tshirts na nilikuta amemaliza tayari na alifanya kazi nzuri sana.

Nilitoka Kariakoo na nilikwenda moja kwa moja mpaka Masaki na nilimpa T-shirts Sumaiya ili azigawe kwa wafanyakazi wake maana zilikuwa kwa size tofauti. Baada ya hapo nilitoka nikaenda Mikocheni nikaonana na Lucy nikampa T-shirts awape wafanyakazi wake. T-shirts zilikuwa ni nzuri na ziliwapendeza sana na waliishia kunishukuru na kunipongeza.

Muda huu niliamua kuondoka pale Mikocheni na nilirudi home kupumzika pamoja na kucheza na Junior. Lakini baada ya kurudi home nilikuta Junior hayupo na dada akanambia Iryn alikuja akaondoka naye.

“Dada una uhakika ni Iryn aliyekuja?”

“Ndio kaka ni yeye na amekuja na gari nyeusi, amekaa hapa akampa na uji akasema anaondoka naye atamrudisha badae, mmepishana kidogo tu.”

Nilivyosikia gari nyeusi ilibidi nishtuke kwanza, maana Iryn hana gari. Ilibidi nimpigie simu Iryn ili nicomfirm kama ni kweli alikuja mchukua Junior, na baada ya kuwasiliana naye alisema yuko naye na atamrudisha badae.

Nilikumbuka kwa mama Janeth kuna Range nyeusi hivyo Iryn atakuwa aliamua kuifuata ile gari iliyokuwa ya mama yake. Na muda huu nilijisemea,

“Daah! Iryn mpaka kaenda kuchukua gari kweli hataki usumbufu na mimi.”

Baada ya kukuta Junior hayupo niliamua kwenda zangu kwa Prisca ili nikapoteze muda pia nilikuwa nimem-miss sana. Kipindi hiki walikuwa wako kwenye mitihani na ilikuwa ni week ya mwisho na alikuwa anasubiri mtihani wa mwisho ijumaa.

Saa yangu ilikuwa inaonesha ni saa 7 kasoro za mchana wakati nawasili pale kwake na nilimkuta akiwa na Eva wanasoma Sebleni. Niliwapa hi! na mimi nikaenda zangu chumbani kulaa, lakini baada ya dakika 5 nikiwa chumbani Prisca alikuja,

PRISCA: “Honey are you okay? Seems like you’re not ok.”

MIMI: “Niko poa swirry please come.”

PRISCA: “Nataka nikakupikie chakula.”

MIMI: “Mimi nataka ugali na kitimoto, wapi wanauza hapa kitimoto? Ugali nitakusaidia leo kupika.”

PRISCA: “Ngoja nimpigie simu bodaboda alete.”

MIMI: “Mara hii ushawajua bodaboda?”

PRISCA: “Baby mara nyingi namtumia kwenda sokoni na kuniletea vitu.”

MIMI: “Ni sawa ila pia sitaki kukuona ukipanda bodaboda not safe.”

PRISCA: “Sawa honey ngoja nikaandae mboga ya majani.”

Na mimi sikuchukua muda nilikwenda jikoni kumsaidia kupika ugali na muda huu Eva alikuwa yuko busy anasoma.

MIMI: “Shem nakuona upo busy unatafuta 1st class nini?.”

EVA: “Shem acha nasoma hizi statute za sheria zinanichanganya tu hapa. Mwenzangu Prisca coursework yake ni nzuri hana stress kama mimi.”

MIMI: “Pole sana, utatoboa usijali.”

PRISCA: “Honey tukimaliza paper si unatutoa out? Twende hata Tips.”

MIMI: “Wewe na hali hiyo bado unataka kutoka out? Si ulitaka kuwa mama? Utabaki hapa mimi nitatoka na Eva.”

PRISCA: “Honey nimeacha kutumia alcohol nitakunywa hata mocktail, kidogo nitoe hangover za mitihani.”

MIMI: “Sawa haina shida nitawatoa mka-enjoy.”

Na muda huu nilikwenda jikoni kumsaidia Prisca na yeye alikuwa akikata kata viungo vya mboga.

Alikuwa amevaa kigauni kifupi ambacho kiliishia chini ya usawa wa makalio sasa akiinama mambo yote nyuma yalikuwa hadharani.

MIMI: “Baby kwanini huvai pichu?”

PRISCA: “Honey hutaki mwanao apumue?

Na mimi niliishia kunyamaza tu muda huu, nikakumbuka hata mama Junior alikuwa hapendelei kuvaa pichu enzi za ujauzito wake.

Hii siku nilishinda na Prisca mpaka usiku, wakati naondoka niliamua kumpa cash tsh. 300,000/= kwaajili ya matumizi na yake binafsi.
*******

Ijumaa Prisca alimaliza mitihani yake lakini baada ya kutoka kwa mtihani alianza kuumwa. Nilipigiwa simu na Eva na akanipa taarifa hizi na nikamwambia atangulie Kairuki hospital nitawakuta huko.

Nilichelewa kuwasili pale na nilikuta tayari wameonana na doctor na majibu ya vipimo yalionesha ana homa. Tuliondoka pale hospital kurudi kwake na nilishinda naye siku nzima pale kwake tukiwa na Eva.

Kwa upande mwingine Prisca alinambia kesho jumamosi atarudi kwao na pia akaongee na wazazi kuhusu suala la mimba. Mimi niliona ni jambo jema kurudi kwao na kutoa taarifa ili wazazi wajue kinachoendelea.

Hii siku hatukutoka kama tulivyopanga sababu ya kuumwa kwa Prisca, hivyo wakati naondoka ile jioni nilimwambia Eva tuongozane ili nikawanunulie vinywaji.

Wakati niko njiani na Eva tulikuwa tunaongea mambo mengi tu likiwemo la Prisca, na kubwa alitaka kujua nimejipangaje kwenda kwa kina Prisca. Pia alikuwa anashangaa kuona silali pale kwa Prisca ni kama alikuwa ananipeleleza ajue kwanini. Niligundua Eva hajui chochote na hakuna ambacho Prisca kamwambia na mimi nilishia kumpa sababu za uongo.

Niliingia na Eva pale Mlimani city kununua vinywaji na baada ya hapo alirequest Uber ya kumrudisha Changanyikeni.

Tuliachana pale na mimi nilikwenda Parking nilikopark gari ili niondoke lakini wakati nimeingia kwenye gari niliangalia siti ya pembeni yangu na nikaishia kumkumbuka Mzee Pama muda huu.

Nilikumbuka mara ya mwisho wakati nampeleka Airport alikuwa amekaa pembeni yangu tunaongea. Muda huu niliwaza kumpelekea gari Jane, niliona ni muda sahihi wa kumkabidhi gari yake.

“Mzee najua haupo kimwili lakini kiroho tupo pamoja. Hukutaka kipindi kile kumpa gari Jane sababu alikuwa bado hawezi kuendesha. Kwasasa anaweza hivyo ni wakati sahihi wa mimi kumkabidhi gari yake. Rest In Peace Mzee.”

TO BE CONTINUED.

Hii njemba itakuwa ni jamaa toka Paris, amekuja Bongo kupasha kiporo.
 
Back
Top Bottom