Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Inauma saana! Utakuja kuniua iryn weeeKigi Makasi njoo ila ukaze roho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma saana! Utakuja kuniua iryn weeeKigi Makasi njoo ila ukaze roho
Ni hatari wee yaani wahehe apooo mapema washajitundikaIRYN atatuulia kijana wetu Insider, bahati mbaya kwenye story huwa hapimi kilo angeshajua kuwa kapungua kilo nzima..
Hata mim mkuuu [emoji16][emoji16][emoji16]utazani iryn demu wangu bhan kuna kawivu flan kamenivaa[emoji3][emoji3][emoji3] ila hongera mkuu
Ni comeback ya maumivu ya hisia kama mwenyew ulivyokiriHakuna cha comeback maana hakuwa dem wangu, na mimi mme wa mtu so she was right
Hata mie nilinote hii kituPale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... [emoji16]
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni burudani tu [emoji23]
team insider watakuja kukupopoa😂Ukweli ni kua INSIDER MAN hajawai kuila hii pisi (Iryn), ndo maana title ya hadithi iko ivo, loose ball nyingi alipoteza na haezi pata tena..
Iryn yuko hai na anadate na uyo bwana mpya adi sasa, prisca bado hajajifungua pia up to know.
90% kashahadithia naamini, imebaki conclusions tu ya maisha yake baada ya uber yuko na mishe gani saa hii
Jamaa ni jongoo kalalaUkweli ni kua INSIDER MAN hajawai kuila hii pisi (Iryn), ndo maana title ya hadithi iko ivo, loose ball nyingi alipoteza na haezi pata tena..
Iryn yuko hai na anadate na uyo bwana mpya adi sasa, prisca bado hajajifungua pia up to know.
90% kashahadithia naamini, imebaki conclusions tu ya maisha yake baada ya uber yuko na mishe gani saa hii
Hana maajabuteam insider watakuja kukupopoa😂
aje mtu aweke dau tubet😂Hana maajabu
Inshort maneno mengi
Vitendo sifuri
Hakuna mwanamke anayependa mwanaume wa hivyo
Utaishia kugeuzwa shosti akee🤣🤣
Domo zege wanasindikizaga warembo Gest/lodge/hotel kuliwaaje mtu aweke dau tubet😂
mimi nasema iryn haliwi