Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nothing come easy bro, no sweet without sweat
 
Mkuu wee play part Yako najua unajua kwamba wanaume hatuyumbishwi na maneno
 
Upendo wa pekee kwa kweli,
 
Na wewe mwishoni umeharibu umesomea na literature ya kutunga inakuwaga hivyo?? Ili apate Nini kwani analipwa? This is true story
 
Mimi kwenye hii simulizi naweza kuwa tofauti kidogo, waru wengi humu nimeona wanavutiwa Sana na matukio ya kinahusiano kati ya mleta uzi na washirika wake lakini kwangu mimi Jambo kubwa linalonivutia ni zile movements na uchakarikaji wa bwana msimuliaji ndo kitu kijubwa kabisa iinachonivutia humu, yaani ile kapita hapa katokea chocho hili kageuzia kule akapata kiasi kadhaa akasubiri kwa muda fulani akamuotea bosi fulani na mambo kama hayo ndo yanayonifanya niupende zaidi huu uzi kwa sababu hizo details zinaniongezea vitu vingi sana kwangu

Mi sio mnywaji na wala sio mtu wa club halafu kuna kipindi nasoma humu mwamba akawa ametaja kinywaji kihaitwa sijui moet Kuna kipindi mwanangu akaniomba nimpe kampani sehemu fulani nikamsikia anaagizia basi na Mimi ndo nikaionea kwa pale, nisingeisoma humu nungeendelea kujua vinywaji vya walevi ni double kick na highlife tu
 
Hatutofautiana Sana..... Mishe mishe zake aani znakufanya upambanee kiume aseeh

Apo kweny kunywa ndo kwangu nusu ya maeneo aliyotaja.... Nimefika na ku hang out na Wana......

Ktk upambanaji na Kaz yake kukutana na wateja km hao wa kike.... Kumtaman ni kawaid Sana sema ni namna ya kutumia akili na kufocus ktk maisha maake pia wanawak wana mitego ming na unaeza potea
 
Ndo maana nawashangaa hao wanaolalamika kuwa wako bored na uzi, how???
 
uzi naona unanalibia ukingoni mana episode zinakuja kwa kuvizia sana . Ila mkuu insider Movie yyte sterling akifa au kuonesha uzembe mwishoni ina unmask uzur wote yan inaua mazuri yote .piga mashine ryne tena unanza na romance ndani kwake halafu zamisha mkunyenge wengi tutaona ww ni shujaa kijana mtafutaji na mpambanaji lakini pia rijali hupend uzembe .Nakuomba sana. lakin lia uzi wako nimejifunza vingini kama huyaojali inbox tuchat ya maisha sasa plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…