Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

🙆🙆🙆
 
Eeh! Mr. InsiderMan, mwisho wa yote, naona kwa mbaali kama Iryn ndiye atakuwa mama J. Utabiri wa mama utatabiri upya hivyo, hasa kazi ya MZEE JUMA utafanyia/Master's Degree utajasomea Ufaransa! Wee twende tu, shauri yako
 
Rottweiler ni mbwa mwenye nguvu sana za miguu ana anauwezo wa kutembea muda mrefu bila kuchoka, ni mstaarabu hana mambo mengi ila hanaga masikhara kama wewe ni adui.

Comb ya Rottweiler & shepherd sidhani kama kuna kibaka atakatiza kwa Jane. Na sasa ni wakubwa balaa sio poa [emoji1544][emoji1544]
 
Hii ni kweli. Na tunawakimbia maana huwezi mfungulia zip kila mwanamke maisha yanaweza kuwa mafupi na huenda familia ikatelekezwa.
Waume wa za watu wanajua kunogesha, na wanajua kujali sanaaa, anakuja kupata faraja na kujituliza mbaya zaidi ukimpa vitu adimu ndio utaona anavyomwaga hela, asikuambie mtu siku hizi hakuna mwanamke anaetaka stress tunaangalia fursaa kwa kweli
 
Na mm nitakuja kwako plz
 
Wanaijulia wapi JF? Hawana hata huo muda
 
Waume wa za watu wanajua kunogesha, na wanajua kujali sanaaa, anakuja kupata faraja na kujituliza mbaya zaidi ukimpa vitu adimu ndio utaona anavyomwaga hela, asikuambie mtu siku hizi hakuna mwanamke anaetaka stress tunaangalia fursaa kwa kweli
Aiseeeee
 
Mbwa mzuri ni German shepherd kwa familia
 
Yaan wahindi hawanaga siri hata wachina jamani na huyo muajemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…