Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? 😂😂.Mzee hiyo hapo chini ni meseji imetumwa na mwanaume kwenda kwa mtu ....alafu mwisho wa siku kaanza kutongoza yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fwd:Ingia mtandao unaitwa www.jamiiforums.com utaona kila kitu. Aliyekuanika anatumia username: miles45.
I will handle this. Uzuri nimesha pata details zao.Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? [emoji23][emoji23].
Mi nishakueleza utalia mara 2 kesho..ona ushaanza kulialia leo hii [emoji38][emoji38]
anhaa, sawasawaKesho nitawapa 2 mkuu, kuweni humble. Story ipo tayari ila sijaifanyia mapitio. Huku tunakokwenda sasa andaeni popcorn tu maana ni kutamu balaa.
😁😁😁😁nimekaa kwakutulia nikisubiriaMwisho wa story nitawapa option kwa watakaotaka kumwona Iryn kuweni humble.
Shida yako nini mrembo?
Wewe inakuhusu nn acc ya mama j .....?hv hii story mama j hana account humu kwel
unaumia ww mama j wa mchongoWewe inakuhusu nn acc ya mama j .....?
Goma linajisogeza [emoji23] [emoji23]Naomba Kuona hizo ndevu
Si uende WiPAHS Kibaha wanatoa miwani ya bure ujishikize siku mbili tatu mpk upate hela kuliko kutukosesha uhondoINSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes
😂😂😂 Eti UhondoSi uende WiPAHS Kibaha wanatoa miwani ya bure ujishikize siku mbili tatu mpk upate hela kuliko kutukosesha uhondo
Bado una rudia tena?I will handle this. Uzuri nimesha pata details zao.
But nina threesome kesho hiyo ya kwenda kupunguzia hasiraView attachment 2715833
Kaa mbali na mm nenda jikoni kwa wamama wenziounaumia ww mama j wa mchongo
Haribu na huyoBado una rudia tena?
Usije sema mimi nmemtafuta kumpa ujumbe ngoja ninyamaze🤣Haribu na huyo