Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Haya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua

Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara

Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...

Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range

Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue

Na maisha yanatofautiana

Mfano mwingine

Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6

Kuna watu wanamaisha basi tu
You're right 100% mimi nina rafiki wa kike ana uchotara wa kijapan anakaa apartment ya $2,000 per month, upanga pale karibu na Palm Beach anafanya kazi kwenye hizi organization za UN
 
INSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes

No, this is selfish mkuu labda kama umetania ingawaje nimeona umesisitiza kuwa #siojokes.

Ni maoni yangu kuwa katika hili umejifikiria pekeako pasipo kuwafikiria wengine ambao tumekuwa na kiu ya kupata muendelezo, hasa ikizingatiwa siku ya leo ni miongoni mwa siku ambazo INSIDER MAN aliahidi kuwa anaweka muendelezo.

Kama ishu ni miwani, nashauri kwamba unaweza ku-subscribe kwenye uzi. Then utakapo rekebisha suala hilo utarejea kwenye uzo huu na kuendelea kuanzia pale ulipoishia.
 
No, this is selfish mkuu labda kama umetania ingawaje nimeona umesisitiza kuwa #siojokes.

Ni maoni yangu kuwa katika hili umejifikiria pekeako pasipo kuwafikiria wengine ambao tumekuwa na kiu ya kupata muendelezo, hasa ikizingatiwa siku ya leo ni moja ya siku miongoni mwa INSIDER MAN alizoahidi kuwa anaweka muendelezo.

Kama ishu ni miwani, nashauri kwamba unaweza ku-subscribe kwenye uzi. Then utakapo rekebisha suala hilo utarejea kwenye uzo huu na kuendelea kuanzia pale ul
Ni utani tu mkuu #arosto
ipoishia.
 
INSIDER MAN
 
Back
Top Bottom