Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,181
- 4,252
Wanaume wengi ndivyo tulivyo, hatuweki wazi mambo yetu haraka haraka. Information is power, don't over share.Ila hapa ulifeli kumficha ....ukwl humuweka mtu huru
Wanaume wengi ndivyo tulivyo, hatuweki wazi mambo yetu haraka haraka. Information is power, don't over share.Ila hapa ulifeli kumficha ....ukwl humuweka mtu huru
Tunatoa information pale ambapo tunajua tutanufaika na hizo informationWanaume wengi ndivyo tulivyo, hatuweki wazi mambo yetu haraka haraka. Information is power, don't over share.
Pongezi kwakwe wifi aliyekufichaNipo mdogo wangu.. Wewe tu
Kabisa, na sio kirahisi rahisiTunatoa information pale ambapo tunajua tutanufaika na hizo information
muda uleule nikamshika mikono yake miwili na nikapandisha mikono yangu kuzunguka kiuno chake na nikamvuta upande wangu kwa nguvu, kilikuwa kitendo cha ghafla sana. Nikampa ulimi wangu na yeye akanipa wake haraka bila kizuizi na tulichezeshana pale kwa sekunde kadhaa na palepale tulishtuka tukaacha ule mchezo.
MIMI: “I mean hiki ndo ulichokuwa unakitaka, Iryn thank you for everything, I have missed you so much. Mimi naondoka nikutakie maisha mema ila kama utahitaji msaada wangu never hesitate to call me. Byee.!
We jamaa mimi pia nilisubiri hii part japo sio wa hovyo [emoji23][emoji23]Huwezi kujua ni kwa kiasi gani vijana wa hovyo walikuwa wanasubiri hii part kwa udi na uvumba.
Dah....Why?Biashara ya Uber pia imeniachia kumbukumbu mbaya sana ambayo sitokuja kuisahau kwenye Maisha yangu.
“MEMORIES NEVER DIE.”
usiuze siri za kambi kirahisi hivyo mzee baba.Ila hapa ulifeli kumficha ....ukwl humuweka mtu huru
dah yaweza kuwaNilicho gundua huyu insider hii ni story ambayo bado inaendelea kwenye maisha yake halisi. Hivyo hadi apate Visa ndio anatuletea ndio maana katuambia atatuletea Visa wiki hadi wiki .....ila ni story moja tam sana
Unashusha mzigo saa ngapi Mzee.?Ngoja tuone Next Episodes nini kiliendelea ila mpaka tulikofika Episode ya 26 ni Prisca pekee niliye mla.
You're right 100% mimi nina rafiki wa kike ana uchotara wa kijapan anakaa apartment ya $2,000 per month, upanga pale karibu na Palm Beach anafanya kazi kwenye hizi organization za UNHaya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua
Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara
Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...
Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range
Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue
Na maisha yanatofautiana
Mfano mwingine
Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6
Kuna watu wanamaisha basi tu
Mh? Insider! Shush madini! Tuko standbyINSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes
INSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes
Ni utani tu mkuu #arostoNo, this is selfish mkuu labda kama umetania ingawaje nimeona umesisitiza kuwa #siojokes.
Ni maoni yangu kuwa katika hili umejifikiria pekeako pasipo kuwafikiria wengine ambao tumekuwa na kiu ya kupata muendelezo, hasa ikizingatiwa siku ya leo ni moja ya siku miongoni mwa INSIDER MAN alizoahidi kuwa anaweka muendelezo.
Kama ishu ni miwani, nashauri kwamba unaweza ku-subscribe kwenye uzi. Then utakapo rekebisha suala hilo utarejea kwenye uzo huu na kuendelea kuanzia pale ul
ipoishia.