Yah nimemtahadharisha ndugu yetu maana mafisi wengi humu. Yeye aendelee tu na story inatosha kumuelezea namna alivyo au anapoishi hapo kijitonyama na kazi zake lakini ibaki hivyo hivyo general asiweke specific location au picha.Asipo sikia hili ameisha humu tunachekeana tu. Ila kuna unafki mkubwa sana. Watu hawapendi na watu wana wivu ulio ambatana na chuki kali sana. Talking from experience ...
Pia Insider usije kudisclose hiyo organisation aliyofanyia mama yake acha hivyo hivyo anonymous. Mpaka sasa uko vizuri tu hujadisclose identity yake kiasi cha watu kupata access au kumjua which is good.
Next episodes please tunasubiri ujue umetuchomesha mahindi sana kuanzia jana