Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kweli issue ya kuweka picha si nzur labda angeweka half picture isiyoonyesha sura labda kamwa alivyofanyags yake kuonyesha nguo alizonunuliwa na mbostwana labda, pia izo location ajitahid kuzificha watu wasifahamu anaishi wap n.k
Hakuna cha kupost picha wala nini hapa story tu ukitaka picha kampige demu wako
 
kama vipi nipigieni kura niendelee na story mbona naiweza tu.
inshu si iryn aliwe?
 
Broo watu wa humu ni mafalar sana asikuambie mtu ....usijaribu na usije ukarogwa mkuu .

Wamenifanyia ujinga na kunipeperushia ndege wangu ila ndio hivyo mimi kontawa hawajaharibia wamenisumbua tu [emoji16][emoji16] ndio kwanza naenda nakula threesome
Usiniambie yule demu umemkosa mkuu, wahuni sio wati
 
Back
Top Bottom