baada ya kufika ndani hakutaka kuchelewesha hisia zake kwangu, alivua nguo zake haraka haraka na kubaki mtupu kama alivyozaliwa. kusema kweli mtoto aliumbika lakini cha ajabu siku hii jogoo hakuwika kabisa. ilyne alilia sana baada ya kuniona nipo kwenye hali ile. niliwaza labda mary dada yake na prisca amenifanyia mchezo wa kiswahili maana alinishuhudia live nikipima oil kwa mdogo wake.
ilyne aliamua aniambie ukweli ambao umeniuma sana.
IRYNE: Insider kumbe ndio maana ulikuwa hutaki kunimaliza haja zangu kipindi chote hiki.
INSIDER: Niliinama chini nikikosa cha kujibu.
kumbe yule jirani alikuwa anachungulia na kusikiliza maongezi yetu,, hii siku nilijuta kwanini nimemtafuta huyu mrembo wa ajabu.
wakati huo huo IRYNE alichukua simu yake na kuamua kumpigia Mama J wangu, kuna maongezi waliongea japo nilikuwa nasikia kwa mbali, ndipo nilipojua kumbe Iryne na