nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kuna maisha mengine nje ya kazi MkuuMzeee nyboma umeadimika sana au Samia amekutumbua mzee ,mnk dodoma haupo sijui nin kilikupata mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maisha mengine nje ya kazi MkuuMzeee nyboma umeadimika sana au Samia amekutumbua mzee ,mnk dodoma haupo sijui nin kilikupata mzee
Edit kwanza maisha yakoJioni nitakuwa hapa kufanya editing ya hii story, kuna uongo mwingi unaendelea.
Hakuna cha kupost picha wala nini hapa story tu ukitaka picha kampige demu wakoKweli issue ya kuweka picha si nzur labda angeweka half picture isiyoonyesha sura labda kamwa alivyofanyags yake kuonyesha nguo alizonunuliwa na mbostwana labda, pia izo location ajitahid kuzificha watu wasifahamu anaishi wap n.k
Si uandike yako..? Ujuaji ukizidi ni ujinga mwisho utapapaswa taqoJioni nitakuwa hapa kufanya editing ya hii story, kuna uongo mwingi unaendelea.
nishakuona kwenye kila uzi unapenda majibizano ya kijingaWewe inakuhusu nn acc ya mama j .....?
Hakuna cha kupost picha wala nini hapa story tu ukitaka picha kampige demu wako
Jamaa kawa sio sasaINSIDER MAN vipi tuwendee mzee
Round hii hatuwaachii waharibu nyuzi mimi na nyie bampa to bampanishakuona kwenye kila uzi unapenda majibizano ya kijinga
KAZI YANGU MOJA TUU KUDEAL NA WAPUUZI HAWA. NIMEPUMZIKA KWA MDA SABABU SIJAONA UPUMBAFUU WOWOTE ILA NIPO STANDBY KILA POST NAIZOOM.Round hii hatuwaachii waharibu nyuzi mimi na nyie bampa to bampa
Half time tusubiri game iishe ataweka tuJamaa kawa sio sasa
huyo wa kwenye avatar box yako, yuko wapi siku hzkama vipi nipigieni kura niendelee na story mbona naiweza tu.
inshu si iryn aliwe?
Insider Man anaangalia team yake pendwa Simba.Hapa baada ya game kuisha ndio tutamuona. Simba ikipigwa naona anaweza asitupie mzigoINSIDER MAN tupo tayari kupokea episode nyingine
Usiniambie yule demu umemkosa mkuu, wahuni sio watiBroo watu wa humu ni mafalar sana asikuambie mtu ....usijaribu na usije ukarogwa mkuu .
Wamenifanyia ujinga na kunipeperushia ndege wangu ila ndio hivyo mimi kontawa hawajaharibia wamenisumbua tu [emoji16][emoji16] ndio kwanza naenda nakula threesome