Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Maono yangu

Insider anaenda kusoma anatafuta dereva wa kampuni yao

Kazi iyo

Ningekua nipo dar ningeibukia kazi hii
Kwa ninavyoelewa baharia ungefukuzwa na Irene hata wiki humalizi mkuu😀
 
Duh, mkuu inabidi wakati mwingne uwe unaweka mipaka baina yako na hao marafiki zako kama wakina eva na sumaiya, kwani eva hakuona kuwa uko na mtu mwngne au alipanga akiharibie kwa iryn, dah ni kama uko na bahati mbaya na iryn pole sana maana naamini mpaka unakuja kukaa nae sawa basi umepitia mengi sana
 
Lini tena mkuu
 
Bro umefungua code ya jina la iryn mbn😅
 
Mmmh ya leo kali .......apa kuna somo moja kali Sana

Haya mambo yasikie KWA jirani tu unamliza boss lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…