Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


Eva alikuwa sahihi maana hata mimi nikimwona dem wa mshikaji wangu lazima nimsalimie.
 
Niendelee na game ss ya Laliga..... Maana inaonesha hata huyu bossy lady hataliwa maniaje till the dawn.....
 
Code zinaanza kufunguka
Kumbe jina la Iryn ni Geneviv
 
Hapa kuna mawili either ni kweli insider kafungua code kimakosa kama anavyodai ila kwa jicho la kichambuzi na story anayosema huwa anaipitia yote kwanza ili ndo aipost ni ngumu sana kutoliona jina genevieve .
Au ni poteza maboya.
 
"Tukapiga ramance ghafla simu ikaita. Alikuwa ni mama wawili."
"Fish market akatokea Eva"
Following closely these incidences!
 
CHAI CHAI CHAI ILA TAMU
 
Stori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vingi vya kutunga.

Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.

Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na mwandishi.

Kila la kheri mnapoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…