Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa kweli mm najifunza sana mengi nimejifunza na tangu nimeanza kusoma kuna vitu nimeanza kuvifanyia kazi na sasa nimeanza mabadiliko kwa kweli.

Habari ya hao machoko ni wao kila mtu na starehe yake mwisho wasiku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe[emoji28]
 
Nakumbuka wakati najiunga, JF walikuwa ni watu wenye elimu zao na kazi zao, niwatu waelewa wenye uchungu na nchi yao ila kuna kizazi kimeibuka hahah kinaleta mambo ya Instagram humu, Insider wewe endelea wapo wanaojifunza sanaa humu
 
Kuweni matured, sioni sababu ya kutukana humu ndani. Kama mtu hajitambui ni bora uka achana naye lakini sio matusi.

Mimi nachofanya kwasasa ni kublock wote wanaotukana
Wewe block tu wasiojielewa ila wengine tunajifunza mengi sema tu basiii,. Ukiwa unablock angaliwa wengine wanatania tuu kunogesha hasaa baada episode inapoishia kwenye utamuuu[emoji28]
 
Kama sites gani?
Nafikiri lengo lako kaka, siyo kutajirika kupitia hii story ila naamini ukitaka watu wajifunze kupitia zile njia ulizopita na kufanikiwa na moja wapo ikiwa ni uaminifu kama msingi wa kila kitu kwenye haya maisha,
Ushauri wangu kwako Insider kila mtu atakujia na wazo lake lakini nakusihi usitoke kwenye lengo lako kuu, wewe endelea na utaratibu wako kama ulivyokuwa unejiwekea hapo awali, maana hiyo mia tano haitakusaidia lolote kama utashindwa kutimiza lengo lako kuu, la watu wengi kujifunza kupitia huu uzi wako, ni ushauri tuu ndg,
Naomba kuwasilisha
 
Kuna watu watashindwa kupatambua hapa

IMG_2425.jpg
 
Rottweiler ni mbwa mwenye nguvu sana za miguu ana anauwezo wa kutembea muda mrefu bila kuchoka, ni mstaarabu hana mambo mengi ila hanaga masikhara kama wewe ni adui.

Comb ya Rottweiler & shepherd sidhani kama kuna kibaka atakatiza kwa Jane. Na sasa ni wakubwa balaa sio poa [emoji1544][emoji1544]
Ila Rotyweiler ni wakuwa nao makini anaweza akakurudia wanakawaida ya kupoteza kumbukumbu, napenda mbwa na ninafuga pia, so ninafuatilia sanaa,
 
Nimefunga PM watu hawana point ni usumbufu kuomba picha za Iryn, nikimaliza story nitafungua.
Nitaandika email
Usitume picha ya mtu hata yako usitume, mtu kama anahitaji msaada wa kuvuka msaidie umejifunza kupitia mzee Pama, so baada ya kumaliza hili nikuombe utoe hata unofficial email ili uweze kuwasiliana na watu hata kimawazo na ushauri najua kuna watu wengi kama mimi tumepata funzo na yapo ya kuhitaji kama ushauri na mambo mengine
 
Mkuu hao rottweiler wana tabia ya kufuta mafaili kichwanii..yaan anweza akakusahau at ww mfugji wake akapita na ww iv..
Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.

Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.

Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246
images%20(8).jpg
 
Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.

Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.

Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
Mkuu unawachukulia poa sio #Shepherd eti wanangata kirembo!!!???
 
Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.

Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.

Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
Duh! Kwahiyo mbwa mzuri yupi, kwenye kufuga?
 
Hapa ni Kijitonyama karibu na Grand Hotel. Vipi hapa ndipo anakaa kimwana?
Inategemea na unahitaji kwa ajili ya nini mKuu.
Kama ni Family Dog, chukua wale pet dogs, Border collie na wakina Golden retriever.

Kama ni Part family, part security basi Chukua German shepherd au Belgian Millnois mkuu. Hata wakina Boerbels na Rotweillers wanafaa sema hawa aggression yao inashinda IQ yao. Inahitaji ukaribu na upendo mwingi na wanapakia sana.

Kama ni Kuwinda chukua wakina Kangaal, greyhounds, ridgeback au wakina Pitbulls kutegemena na unachowinda.

Kama unaogopa gharama basi chukua hawa stray au local dogs, hawachagui vyakula,wanahimiri magonjwa na wasikivu sana.
 
Back
Top Bottom