Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimefunga PM watu hawana point ni usumbufu kuomba picha za Iryn, nikimaliza story nitafungua.
Nitaandika email
Kumbe Kuna wendawazimu humu 😂hivi wanathubutu vp,na kwa ujinga wao walifikiri utawatumia kweli?!
 
Ndugu zangu hii weekend ilikuwa tough sana kwa upande wangu ila niliwapa Episode 4. Kesho nitawapa Episode 2 then ratiba itaendelea kama kawaida, mimi pia namajukumu ya kufanya. Junior anahitaji matunzo na Pesa so lazima nichacharike kama mzazi.

Kitendo cha kuwapa epsode kila weekend ili niwe na muda wa kutosha wa kuwapa story nzuri huku nikihakikisha siruki matukio.

Insider niko jikoni kuweni na subira,
Kwa Nini usiandike kitabu? Trust me utatajirika.muda sio mrefu na Junior hatapata tabu maishani.Work on it.We sema tu mwendelezo wa hii story utakuwa kwenye kitabu toa no zako ingia kwa wanaodeal na vitabu uza idea mbona baada ya muda ni Mambo mswano??? Fanya hivyo mjeshi Insider
 
Afu huyu INSIDER mwanzoni alikuwa anasema Iryn alikuwa anamuita gentleman,,,,ila huo u gentle hatuoni hapa mana aliahidi mwenyewe atakuwa anatoa episodes ijumaa,jmos na jumapili ila jmos hakuna kitu na jpil pia,,,huo ndo u gentle gani sasa akati you can't keep your promises
Unamlipa sh.ngapi? Ungrateful people like you are so dangerous in life
 
Kwa Nini usiandike kitabu? Trust me utatajirika.muda sio mrefu na Junior hatapata tabu maishani.Work on it.We sema tu mwendelezo wa hii story utakuwa kwenye kitabu toa no zako ingia kwa wanaodeal na vitabu uza idea mbona baada ya muda ni Mambo mswano??? Fanya hivyo mjeshi Insider
Anza kwanza wewe kumlipa kwa alichosimulia tokea ep1 had sasa ep59. Acha maneno mengi!
 
insider man
nakuomba kaka epsod ya kumla iryn, tafadhal ielezeee vzur sana kwa utuliv mkubwa,,ulivyoanza na ulianzia wap na ulianzaje mpka ukaweka mhogo,jins alivyokuwa analalamika mpk mwisho wake na hapa kaka jitahid epsod nzima iwe ya kula tunda tu hakuna cha sm sijuw ulipigiwa ikakatisha mambo, yani hapa tunataka tufaid ote wanaume tutakaosoma hio ep;maana tunakatabia ketu ss me kakutengeneza kaclip ukiwa unasoma ep special ka hiyo tunayoisubili kwa ham sana;..tafadhal kaka utulie kabsa uwe na utuliv kabisa wa hali ya juu:

Vijana wangu mna Arosto sana nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544]
 
Kwa Nini usiandike kitabu? Trust me utatajirika.muda sio mrefu na Junior hatapata tabu maishani.Work on it.We sema tu mwendelezo wa hii story utakuwa kwenye kitabu toa no zako ingia kwa wanaodeal na vitabu uza idea mbona baada ya muda ni Mambo mswano??? Fanya hivyo mjeshi Insider

Idea nzuri, episode zilizobaki mtalipia bhasi[emoji23][emoji23]
 
Kwa Nini usiandike kitabu? Trust me utatajirika.muda sio mrefu na Junior hatapata tabu maishani.Work on it.We sema tu mwendelezo wa hii story utakuwa kwenye kitabu toa no zako ingia kwa wanaodeal na vitabu uza idea mbona baada ya muda ni Mambo mswano??? Fanya hivyo mjeshi Insider
Everything goes with research......
Kwa wabongo wengi unajua tu hawapendi kusoma vitabu yaani asijeingia gharama za bure wakati hakuwa na plan hizo huu mtindo ni mzuri japo malipo yake yanaweza kuchelewa ila naamini Mungu atamlipa
"When you open one door for others,other million doors opens for you"
 
Back
Top Bottom