Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 2,441
- 3,081
Alaf leo nimekuona Palm Village kweli[emoji28][emoji28]Siwezi kuandika kitu kwa kufurahisha mtu nitaandika kilichotokea kweli,
Alaf leo nimekuona Palm Village kweli[emoji28][emoji28]Siwezi kuandika kitu kwa kufurahisha mtu nitaandika kilichotokea kweli,
Mawazo ya mafisiVijana wangu mna Arosto sana nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji1544][emoji1544]
Alaf leo nimekuona Palm Village kweli[emoji28][emoji28]
Hivi maana ya kuuza soul kwa Lucifer ndio maana yake niniWameuza soul kwa Lucifer ili wawe famous international....
Milioni 3 zote kununua mbwa [emoji15] nyiee kweli watu mna pesa za jumla na rejareja[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Aseeeeee!!Kuna mbwa hadi wa 5M na zaidi
Hivi maana ya kuuza soul kwa Lucifer ndio maana yake nini
[emoji52]Hali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].
Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.
Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]
utasikia Uncle nipeleke Tips
Aseeeeee!!
Basi nimekufananisha [emoji28][emoji28]Leo nilikuwa Masaki toka asubuhi na nimerudi home kwa kutumia barabara ya Sinza.
Kila mtu na starehe yake so mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake, usione watu wanatembea mioyo yao imejaa siri nzito. Ila hao wanaotongoza laivu ndio wamekubuhu jaman hawana hata aibuHali ni mbaya mtu yuko tayari akupe million 5 kisa umfumue marinda [emoji1316][emoji1316].
Ukiwa dereva wa Uber kukutana na hawa watu ni kawaida inabidi uzoee, na wanatongoza Wanaume kabisa. Wamenisumbua sana hawa watu enzi zangu kuna wengine maarufu tu huko mitandaoni.
Bora Bongo umeenda South Africa? [emoji1544][emoji1544]
utasikia Uncle nipeleke Tips
Nilikuepo ccyDuuh nilikusahau sisy...ndo waja leo?
[emoji16] uyo@INSIDER MAN mwenyewe alikuwa anaomba elaNdugu INSIDER MAN nikuombe kitu.
Mtu akikuomba NUMBER isikubali kumpa,,
Ukimpa baada ya muda ataanza kuimba umpe PESA naomba usome PESA hata kama unazo.
Kuna majitu majinga sana
Hata mm nitamuomba, mbona yeye alimuomba muajemi[emoji16] uyo@INSIDER MAN mwenyewe alikuwa anaomba ela
Daaah [emoji28] [emoji28]Hata hawa iringa sherfad (bibi,Popi)nao ni wazuri kwa matumizi ya kawaida kama hutaki mambo mengi maana nao wakiwa trained wanakua poa pia.View attachment 2765331View attachment 2765330