Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Ukinzani lazima uwe na mantikisasa mambo ya kuambiana sijui nyege nyege ndo nn? sio poa mkuu, tukubali hoja kinzani,
Tunacheki Game ya Singida tukiendelea kurefresh....,
Uzuri nakunywa maziwa, kahawa, tangawizi na zote zinapita fresh bila tabuuu....,
Coz najua hata iwe true story, iwe chai, iwe Tangawizi, Iwe kahawa au true story hainiongezei chochote kwenye maisha wala kunipunguzia chochote zaidi narefresh mind kwa kusoma na kupata baadhi ya madini mdogomdogo tukisonga.
Mkuu INSIDER MAN uko njema Boss endelea kutupa kiburudisho hapa kila mtu atajua mwenyewe kama ni kuchuja au kupooza poa
Timu pinzani sio 😀Niite franckkimm..... A.k.a the REDFROG.....tutampinga INSIDER MAN....mpaka akiri hii storiii Ni fictional TU!!!!!....pia atoe lile neno TRUE aweke FICTIONAL Hilo tuu!!!....pia mwambieni huyo ndugu yenu na moderators waache kufuta comments zangu kwenyee huu uziii....natoa maoni yangu binafsi why ufute comment Kama situmiii lugha ya matusiii????.....#JUSTICE.....
Kweli kaka hata mm nilionaga salary slip ya jamaa mmoja anakunja karibia million 3 na ushee kwenye shirika moja hiviKipindi kile nasoma nilikua nasali Azania front wakati wa mnada mkungu wa ndizi ulinunuliwa Kwa tsh 150000/= trey la mayai 30000/= nikasema hii. Kuna siku nilienda CC UPANGA. Nakumbuka Kuna mzungu alifika pale na land Rover kali bala niskia mchungaji anamwambia mkurugenzi wa songas sogea
Mbele. Nilipo kuuliza Kwa jamaa mmoja aliniambia jamaa anakunja 100mil Kwa mwezi nikasema dar watu wanahela. Usibishe kitu kama hajawai kukiona
[emoji23][emoji23][emoji23]Timu pinzani sio [emoji3]
Preach....ooh haleluyahKama huu uzi ungekuwa katika maudhui ya kuteseka hakuna mtu angesema chai,people are jealous because of somebody's good life.Sadism is real to some people here!
Kweli kaka hata mm nilionaga salary slip ya jamaa mmoja anakunja karibia million 3 na ushee kwenye shirika moja hiviKipindi kile nasoma nilikua nasali Azania front wakati wa mnada mkungu wa ndizi ulinunuliwa Kwa tsh 150000/= trey la mayai 30000/= nikasema hii. Kuna siku nilienda CC UPANGA. Nakumbuka Kuna mzungu alifika pale na land Rover kali bala niskia mchungaji anamwambia mkurugenzi wa songas sogea
Mbele. Nilipo kuuliza Kwa jamaa mmoja aliniambia jamaa anakunja 100mil Kwa mwezi nikasema dar watu wanahela. Usibishe kitu kama hajawai kukiona
hv mkuu una degree, umetumia smartphone zaid ya 3yr, unajua kuhide vtu hatari hatari huko dropbox au google nn sijui, halafu unapoteza simu au kununua simu mpya unaanza kuomba contacts za watu kwa watu, like seriously, halafu tukihoji tunatukanwa.Ukinzani lazima uwe na mantiki
Kama WW mawazo yako yanasema mzee wa chai yupo sahii kwa upande wako......na Mimi nikisema hii Ni chai kosa langu Ni lipi???au kosa la wenye mawazo Kama yangu Ni yapiii??.....Toa hoja zako nami nitajibu kwa hoja.....ukijibu kwa shit utajibiwa kwa shiit pia!!! #REDFROGHii nchi kuendelea bado sana, kwa aina hii ya "great thinkers" tuna safari ndefu sana.
Mtu kaanzisha Uzi wake, hajakuita, humlipi chochote, lakini unataka kumpangia Cha kuandika. Mazee kaanzisha Uzi wako huko wa hiyo "true story" isiyo na chai uandike kile unapenda!
Muda wote hii chai, hii chai. Nani kakulazimisha kusoma?
Hata ingekuwa uji, pita kushoto, acha wanaotaka kuifuatilia waendelee..
Siyo kumkatisha mwandishi tamaa. Acheni ushamba na roho za kimaskini kama story ni chai, achana nayo, zipo stori nyingi hapa JF nenda kasome, mwache mwandishi na uzi wake aandike vile yeye anapenda kulingana na malengo na audience yake.
Uzi gani uo brokuna uzi una viewers 10m
Kwl asee hata nnaposali kulikuwa na mnada karibuni wa mavuno keki imeuzwa laki 6 !na ni ya kawaida mtu hawezi kuamini kabisaKipindi kile nasoma nilikua nasali Azania front wakati wa mnada mkungu wa ndizi ulinunuliwa Kwa tsh 150000/= trey la mayai 30000/= nikasema hii. Kuna siku nilienda CC UPANGA. Nakumbuka Kuna mzungu alifika pale na land Rover kali bala niskia mchungaji anamwambia mkurugenzi wa songas sogea
Mbele. Nilipo kuuliza Kwa jamaa mmoja aliniambia jamaa anakunja 100mil Kwa mwezi nikasema dar watu wanahela. Usibishe kitu kama hajawai kukiona
Mla bata mshenzi sana 😀Inaendelea......
Simu yangu ilianza kuita, kucheki alikuwa camilla binti wa mzee juma.
"mambo insider vipi utakuwa na nafasi leo jioni tukapate dinner? Alafu kuna mzigo wako kutoka kwa dady"
Niliwaambia camilla anapenda sana kudeka na uzungu mwingi, ile sauti yake tu nikashindwa hata kumkatalia.....
Baada ya kumaliza dinner camilla alinikabidhi bahasha na kuniambia "huo mzigo wako insider, dady amesema utakusaidia na kukusogeza mpaka wiki ijayo atakaporudi......nilimrudisha camilla kwao na kabla sijaondoka nikafungua ile bahasha ya A4 ndani nikakuta burungutu la elfu kumi kumi zimefungwa kwa haraka haraka nikahesabu ni kama million saba hivi mzee juma alinipa ya matumizi, nikasema hii nitaanza kumlipa mama wa2 mkopo wake.....
Naungana na wewe.Professor Lumumba alisema "
No matter how good you are, if you stay for too long you will spoil it. A good dancer should know when to leave the stage "
Kupitia story yako tumejifunza mengi sana , hatakama ni chai au sio chai hilo unajua wewe, ila umetuongeza kitu kwenye maisha yetu . Asante sana !!
Story haikutakiwa kufika huku ingeishia Episode ya 40 or 30 huko naamini ungekuwa shujaa mbele za watu wengi na moja kati ya waandishi bora kabisa hapa Jf. Tofauti na sasa umekuja kuonekana mtu wa muongo na muhuni..
Mwisho, Ndugu INSIDER MAN bado tunatamani kujua mwendelezo , usikate tamaa ukaishia njiani malizia story.....
Web results
A Good Dancer Must Know When To Leave The Stage — Steemit
Ha ha ha nimecheka kuhusu Sallam SK. Namjua vizuri hana hela hizo unazoongea ndugu yangu. Halafu kutumia milioni 54 Kidimbwi nayo ni kamba. Hivi unajua stock ya milioni 54 ni canter mbili za pombe. Hao watu wa kunywa hizo pombe za gharama say Moet za milioni 54 wana matumbo au mapipa.
Tuwe tunafikiria kidogo masela mavi
Ila usikonde INSIDER MAN, mie stori yako naipenda na kila nusu saa nachungulia kuona kama umepost kiroho safi.
Unatuburudisha mno iwe uongo iwe kweli mie umenikamata mno
Huwa unasoma vitabu vya hadithi mkuu ??Hii siyo chai naamini kwa asililimia 100%,
Kwani story imekaa kwa mpangilio mzuri wa kueleweka tofauti na hapo Kama ni chai ungekuta kashajichanganya sehemu pia kwa wakati mwingine Kama binadamu kwa matukio yaliyo pita waweza Changanya.
Maswali wanayouliza wanao sema ni chai ni ya kawaida mnoo
Mf:Hili la kwa Mzee Pama Insaderman kuweweseka ni kawaida mnoo, unaweza kutana na mtu Maishani mkashibana kuliko ndugu au mzazi akawa Kama Mzazi Rafiki na Mshauri kwa wakati mmoja kwanini usiumie akitoweka .
Kaka yangu alifiwaga na Rafiki yake akawa Kama mwehu ,akawa anasema heri angekufa yeye,haya yapo.
Hili la kwa Lyin hata Mimi nilisha lifanya,Nimechukua chumba na demu tena nilikuwa Bachela ,kufika ndani katika story akaniuliza kabila nilipo mtajia akasema hapana silali nakuogopa akataka kuondoka usiku saa Saba na madakika nikamwambia kwanini uondoke ukivamiwa na vibaka usiku huu au likitokea tatizo ntaingia matatani na ilionekana nimeondoka na wewe ,akakubali ushauri akasema tulale ila tusifanye chochote nikakubali ,kweli tukajifunika shuka moja mpaka saa kumi na moja ndio anaanza kuniangalia anatabasamu Mimi kimya, Mara aniwekee mguu Mara mkono anishike mb-o akakuta kitu kipo chuma
Ila ndio sitaki nikamwambia tuheshimu makubaliano akaanza tena kuchukua akanipokonya na simu alipoona nipo bize nayo na bado sikupiga
Saa kumi na mbili huyo nikaingia bafuni nikaoga nikamuaga naondoka nikachukua simu ,akuamini akaanza kujiliza Mimi huyo nikafungua mlango nikang`oa .
Ilikuwa tukionana hataki kabisa tukutane kwani hakuwa anaishi mbali
Kumbuka Lyin na Insaderman ni mtu na boss hivyo alivyo ambiwa simu inaita ata yeye mwenyewe alikuwa anaisikia hivyo ile kauli na kweli unapoishika simu na ujumbe unaokutana nao unakutoa kwenye Rali ,kwani pia unakuwa na wasiwasi naweza nikabaki na nisile Tunda kwa kauli ya pokea aua usikii simu unawaza pengine ni namna ya kunitoa kwake ,na pia aliyenipigia ananihitaji kwanini asimpigie mwingine lazima uone Kama wewe nu msaada kwake hata alipo mweleza Lyin angejibiwa achana naye njoo tuinjoy.
Pia swala la lyin kutoa laki tatu ni kawaida Sana kwani ali msaport Insaderman Mara nyingi watu wanaojitambua huunga mkono swala jema ukizingatia hela anazo na ndio maana anafadhili hata yatima.
Mtu mwenye Roho mbaya na Mchawi Daima hapendi kumwona mwenzake akipiga hatua au akipitia katika kipindi kizuri katika maisha na ndivyo ilivyo hapa Jf watu wanaumia Sana .
Pia watu wapumbavu wasiyo elewa maana ya maisha na kudhibiti pamoja na kuheshimu hisia zako na za mwingine wanachukia na kufura kwa tukio la kutokuliwa kwa Lyin au inapotokea wapo katika hali flani wanakatishwa na Jambo flani hilo lipo tena Sana tu,Alafu unakuta ni mwanamke mmoja mpaka unawaza labda Kuna kitu Mungu ananiepusha nacho.
Mwisho Kuna upumbavu kiwango cha lami watu wanauliza swali ni kweli ni haki yako unajibiwa bado unakaza hukubaliani na majibu huu ni zaidi ya upumbavu kwani una majibu yako na haupo tayari kubadilika na ndio maana ya mpumbavu hafundishiki.
Mimi binafsi naona hii ni story ya kweli kwani hakuna swali lililoshidwa kujibiwa na pia hakuna maruweruwe kwa walio makini kwa ufwatiliagi au kisa kilichojitokeza gafla bila mtiririko wa story